Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu content-type header.
Hii ni aina ya header abayo inatoa taarifa kwenye device ya client kuhusu maudhui (content) yanayotumwa kutoka kwenye http header. Hii ni muhimu kwa sababi kila content inakuna na namna yake jinsi ya kuitumia. Browser zinahitaji kueewa aina ya contente hiyo. Kama ni video, html, image, pdf na zaidi.
Ili kuweza kuangalia ama kutumia content header utatumia header() function. Ndani yake utaweka utaweka keyword Content-Type ambapo kitaalamu inaitwa HTTP header field itafiatailwa na value za hiyo field. Mfano kama ni html itaandikwa header('Content-Type: text/html') tutajifunza zaidi hapo mbele.
Content type headers zinaweza kuwa:-
Html document hii huwakilishwa kwa header('Content-Type: text/html')
JSON Data huwakilishwa kwa header('Content-Type: application/json');
Plain text huwakilishwa kwa header('Content-Type: text/plain');
XML Data huwakilishwa kwa header('Content-Type: application/xml');
Form Data huwakilishwa kwa header('Content-Type: application/x-www-form-urlencoded'); kama ni njia ya post. Na kama Ndani ya form hiyo kuna faili ambalo linakwenda kuwa uploaded, tutatumia header('Content-Type: multipart/form-data');
Images huwakilishwa kwa header('Content-Type: image/jpeg');
header('Content-Type: image/png');
utaongeza aina ya picha husika.
Kwa taarifa za content yinginezo kama pdf, javascript na zaidi ya hapo utatumia tu header('Content-Type: application/aina ya faili')
; mfano header('Content-Type: application/zip');
Video na audio ni kama huwakilishw akwa header('Content-Type: video/mp4');
au header('Content-Type: audio/mpeg');
Unaweza kurejea somo lililotangulia kuifunza jinsi ya kupata taarifa za header. Kisha tumia somo hili ili kuweza kujuwa aina ya content ambayo ipo kwneye hilo faili.
Mfano zaidi:
">
...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utajifunza jinsi ya kufanya sanitization kwenye user input ili kuzuia sql injection kwenye database.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza concept ya traits kwenye OOP. hii itakusaidia ku solve baadhi ya changamoto zinazotokana na inheritance
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza aina za data ambazo hutumika kwenye PHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma data kutoka kwenye database kwa kutumia PHP.
Soma Zaidi...HApa utakwenda kujifunza sasa namna ya kuzisoma post kutoka kwenye blog
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kutumia prepared ststement kwenye ku fetch data kutoka kwenye database.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kuhifunza kuhusu Custom header na aina zake
Soma Zaidi...Katika somo hili uatakwenda kujifunza jinsi ya kutumia htaccess ili kubadili muonekano wa link ya website ama blog ili kuifanya iwe rafiki zaidi.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza Jinsi ya kutumia ORM kwa kutumia library ya RedBeanPHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza ukurasa wa kupost kwa kutumia html form
Soma Zaidi...