Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu static method na inavtotumika kwenye OOP
STATIC METHOD
Hii ni method ambayo inaweza kutumika moja kwa moja bila ya kutengeneza class instance (yaani bila ya kutengeneza object). Kutengeneza static method tutatumia keyword static . angalia mifano hapo chini kwanza nitakuletea mfano wa function ambayo sio static. Na kisha ambayo ni static.
Mfano1;
<?php
class gari {
public function tangazo() {
echo "Tunauza gari";
}
}
$my = new gari();
$my->tangazo();
?>
Utaona hapo ili tuweze kuitumia method tangazo imetubidi kwanza kutengeneza instance of class hapo tumeanza kwanza kutengeneza object $my = new gari(); Wacha sasa tuone mfano wa method hii hii ila ikiwa static utaona hapo hatuna haja ya kutengeneza object tena yaani instance of class. Pia tutatumia scope operator (::)
<?php
class gari {
public static function tangazo() {
echo "Tunauza Gari";
}
}
gari::tangazo();
?>
Pia endapo ststic method itatumika ndani ya class tutatumia keyword self ikifuatiwa na scope operator (::)
<?php
class gari {
public static function tangazo() {
<">...Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili tutakwenda kutumia prepared ststement kwenye ku fetch data kutoka kwenye database.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ktumia baadhi ya function za php
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kufanya sanitization kwenye user input ili kuzuia sql injection kwenye database.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza aina za data ambazo hutumika kwenye PHP
Soma Zaidi...Katika somo hii utakwenda kujifunza jinsi ya kufanya CRUDE operation kwa kutumia PDO. crude operation inahusu create, read, update. Delete.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuandika constant kwenye PHP. Pia utajifunza utofauti wake na variable
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutuma email ambayo ina HTML, pia utajifunza kutuma email yenye picha na attachment nyinginezo kama pdf
Soma Zaidi...hapa utawenda utuma database wa ajl ya utengeneza maudhu ya PDF.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu server variables
Soma Zaidi...Haya ni mabo ya kuzingatia unapo encode ama ku decode data za json
Soma Zaidi...