Katika somo hili utakwenda kujifunza Jinsi ya utengeneza json data kwa utumia php
JSON kwenye PHP
Ili iweze kutengeneza data za json kwenye php tutatumia function ya json_encode() na mara nyingi data ambazo hutengenezewa json file kwenye php ni object na array. Ijapokuwa unaweza kutengeneza kwa data nyinginezo kama variable za kawaida.
Kwa kutumia variable za kawaida
Mfano nna varable hiizi
$jian = 'juma';
$umr = 30;
$ndoa = true;
Kama unataka kutengeneza json kwa varable mojawapo hapo unaweza ufanya hivi
Mfano:
<?php
$jiana = 'juma';
//encode variable
$ecoded_jina = json_encode($jiana);
//output
echo $ecoded_jina;
?>
Hii utatuletea
"juma"
Ama unaweza pia kutengeneza data za json moja kwa moja kwenye code zako za php kisha uta zi encode.
Mfano
<?php
$jian = 'juma';
$umr = 30;
$ndoa = true;
// Manually create a JSON string
$jsonData = '{' .
'"jian": "' . $jian . '",' .
'}';
echo $jsonData;
?>
Hapo {"jian": "juma",}
Sasa utaona hapo kazi imekuwa ngumu ya kutengeneza json file. Kurahisisha kazi hiyo tunakwenda kuweka data zetu kwenye array ikli iwe rahisi kutengeneza json data.
<?php
$jian = 'juma';
$umr = 30;
$ndoa = true;
$data = array(
"jian" => $jian,
"umr" => $umr,
"ndoa" => $ndoa
);
$jsonData = json_encode($data);
echo $jsonData;
?>
Kwa kutumia object:
Kama tulivyoona kwenye mfano wa kwanza basi tunaweza kutengeneza json data kwa kutumia OOP. Hapa tutatumia Object
<?php
// Create a simple class
class Person {
public $name;
public $age;
public $isStudent;
public function __construct($name, $age, $isStudent) {
$this->name = $name;
$this->age = $age;
$this->isStudent = $isStudent;
&n">
...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika ukurasa huu utakwenda kujifunz jinsi ya kuandika code za php kwa ajili ya kutuma post yetu kwenye blog.
Soma Zaidi...katika post hii utajifunza jinsi ya kufuta post kwenye database. pia utajifunza jinsi ya kufuta picha kwenye server
Soma Zaidi...Somo hili litakwenda kukutajia baadhi ya library za php ambazo hutumika kwa matumizi ya ORM
Soma Zaidi...Katika course hii utakwenda kujifundisha jinsi ya lutengeneza blog kutoka mwanzo hadi mwisho.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunzo kuhusu teknolojia ya ORM na inavyotumika kulinda usalama wa database
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma data kwenye database kwa kutumia PDO.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza ukurasa wa kupost kwa kutumia html form
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuzungumza na server ili kutengeneza mafaili, mafolda, kufuta na ku edit kwa kutumia PHP.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu content-type header.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunz akuchakata data zaidi kw akutumia ORM kama ku join table
Soma Zaidi...