Katika somo hili utakwenda kuhifunza kuhusu Custom header na aina zake
Custom header hutumika kutuma taarifa za ziada kwenda kwa client kwa ajili ya kutuma taarifa nyingine ambazo zinaongeza maana zaidi. Ili kuweza kuweka custom header tutatumia function ile ile ya header() ambapo tutaweka header field na value.
header('Custom-Header: value');
Inashauriwa kutumia X kwa ajili ya kuweka custom header name. Ili kutoingiliana kwa header information na hizi za custom information.
Mfano:
<?php
// Set a custom header
header('X-Custom-Header: MyHeaderValue');
// Output content to the client
echo "Custom header has been set.";
?>
Matumizi ya custom header:
kuna matumizi me">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia PDO kutengeneza database, kuteneneza table na kuingiza data moja na zaidi ya moja.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda Jinsi ya kutengeneza ORM inayofanya CDRUDE operation.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kutengeneza system ambayo mta atajisajili pamoja na kuchat na watumiaji wengine
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunzo kuhusu teknolojia ya ORM na inavyotumika kulinda usalama wa database
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza concept ya interface na concept ya polymorphism kwenye PHP OOP.
Soma Zaidi...Haya ni mabo ya kuzingatia unapo encode ama ku decode data za json
Soma Zaidi...hapa utawenda utuma database wa ajl ya utengeneza maudhu ya PDF.
Soma Zaidi...Katika course hii utakwenda kujifundisha jinsi ya lutengeneza blog kutoka mwanzo hadi mwisho.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuandika while loop kwenye PHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu class inheritance kwenye object oriented programming.
Soma Zaidi...