Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu aina ya header inayoitwa Content-Disposition
Hii header hutumika kueleza kwa namna gani browser inatakiwa itumie maudhui yanayotumwa kama response kutoka kwa server. Hii mara nyingi inatumikakwenye ku access mafaili yanayihitaji ku download ama inline content. Hapa header inaweza kutoa taarifa maalumu ili kuweesha browser kudownload faili mfano jina la faili.
Content-Disposition nafanya ata nja uu mbl ambazo nmetangula uztaja:-
Inline:
Endapo header itaambiwa ni online basi browser tafunguwa fal hlo na kulsoma. Kama vle html pdf na mafal mengne bla ya u download.
Mafano:
<?php
header('Content-Type: application/pdf');
header('Content-Disposition: inline; filename="document.pdf"');
readfile('path/to/document.pdf');
?>
Hapo kama ni PDF bas browser tafunguwa fal hilo
">...Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utajifunza jinsi ya kufanya sanitization kwenye user input ili kuzuia sql injection kwenye database.
Soma Zaidi...Katika post hii utakwenda kujifunza jinsi ya kutuma email kwa kutumia php function ya email()
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu class inheritance kwenye object oriented programming.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kutengeneza system ambayo mta atajisajili pamoja na kuchat na watumiaji wengine
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu http header, maana yake na jinsi ya kusoma taarifa zilizopo kwenye http header.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ambavyo utaweza kutengeneza mfumo wa kuisajiki na ku login, kisha kuangalia usalama wa mfumo kwa kuzuia sql injection.
Soma Zaidi...Katika project hii utakwenda kujifunza jinsi ya kufanya CRUDE operation kwa kutumia PHP OOP na MySQL database.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma muda kama saa na tarehe kwa kutumia PHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu server variables
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu array kwenye php, na jinsi zinavyoweza kufanya kazi
Soma Zaidi...