Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia constatnt kwenye class.
Hii hutumiwa endapo unataka kuweka constat kwenye class. Constatnt hutumika kuweka property ambazo hazibadiliki. Zingatia kuwa class ni case-sensitivity kwa maana unazingatia herufi kubwa na ndogo. Ila inashauriwa sana kutumia herufi kubwa unapotumia constant.
Kutengeneza constant utatumia keyword const kama inavyojulikana. Ila katika kuitumia constatant utatumia operator inayofahamika kama scope resolution ambao ni ( :: ) ikifuatiwa na jina la hiyo constatnt
Mfano:
<?php
class Gari{
const TANGAZO = "Tunauza gari aina ya toyota";
}
echo Gari::TANGAZO;
Tunauza gari aina ya toyota
Sasa kama utataka kuitumia constant ndani ya class utatumia keyword self badala ya this kama tulivyoona mwanzoni.
<?php
class Gari{
const TANGAZO = "Tunauza gari aina ya toyota";
function meseji(){
echo self::TANGAZO;
}
}
$ujumbe = new Gari();
$ujumbe->meseji();
Constatnt yenyewe haina access modifier kwa yenyewe ni visible.
Mfano mwingine:
<?php
class Calculator {
const ERROR_MESSAGE = "Error: Division by zero";
public function add($a, $b) {
return $a + $b;
}
public function subtract($a, $b) {
return $a - $b;
}
public function multiply($a, $b) {
return $a * $b;
}
public function divide($a, $b) {
if ($b == 0) {
echo self::ERROR_MESSAGE;
return null;
} else {
return $a / $b;
}
}
}
$calc = new Calculator();
echo "Addition: " . $calc->add(5, 0) . "<br>"; // Outputs: 8
echo "Subtraction: " . $calc->subtract(10, 4) . "<br>"; // Outputs: 6
echo "Multiplication: " . $calc->multiply(6, 7) . "<br>"; // Outputs: 42
echo "Division: " . $calc->divide(20, 4) . "<br>"; // Outputs: 5
echo "Division by zero: ";
$calc->divide(10, 0); // Outputs: Error: Division by zero
Mwsho
Katika somo linalofuata tutakwenda kujifunza kuhusu abstract class.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika soko hili takwenda kujufunza jinsi ya kutuma sms kwa kutumia PHP. Hii itasaidia kama unataka kutuma OTP yaqni Onetime password
Soma Zaidi...Hapa utajifunza jinsi ya kutengeneza table ambayo tutaitumia kwenye blog yetu
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ku upload mafaili kwenye server kwa kutumia PHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza Jinsi ya utengeneza json data kwa utumia php
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifnza jinsi ya kufanya prepared statement kama njia ya kuzuia sql ingection kwenye PHP blog
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kufanya encryption na decryption kwa kutumia PHP. hii itakusaidia kuongeza usalama kwenye taarifa za watu
Soma Zaidi...Katika somo ili utakwenda kujifunz ahatuwa kwa hatuwa jinsi ya kutengeneza json data kutkana na data ambazo zio kwenye database
Soma Zaidi...Katika post hii utakwenda kujifunza jinsi ya kutuma email kwa kutumia php function ya email()
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu server variables
Soma Zaidi...Katika somo hil utawenda kujifunza jinsi ya ku edit post kwenye databse
Soma Zaidi...