Faili la env ni moja kati ya mafaili ambayo ni muhimu kwa usalama wa project. Fili hili hutumika kuhifadhi data za siri
.env
Katika PHP.env
katika PHPFaili la .env
ni sehemu muhimu ya miradi ya PHP kwa ajili ya kuhifadhi mipangilio na taarifa za siri kama vile funguo za API, jina la mtumiaji wa database, nenosiri, na mazingira ya matumizi (environment: development
, production
, nk). Somo hili litaelezea kazi za faili hili, jinsi ya kuinstall, sheria za uandishi wake, matumizi yake, na kama ni global variable.
.env
Faili la .env
hutumika kwa madhumuni yafuatayo:
development
, staging
, au production
..env
halipaswi kuongezwa kwenye git
repositories, hivyo linaweka taarifa nyeti mbali na maktaba ya umma..env
Faili la .env
linahitaji "environment variable loader" kama vile vlucas/phpdotenv. Fuata hatua hizi:
Sanidi Composer ikiwa bado hujafanya hivyo:
composer require vlucas/phpdotenv
Unda faili la .env
:
.env
:
touch .env
Andika mipangilio yako kwenye faili la .env
: Mfano wa mipangilio:
APP_NAME=MyApp
APP_ENV=development
DB_HOST=127.0.0.1
DB_PORT=3306
DB_DATABASE=my_database
DB_USERNAME=root
DB_PASSWORD=secret
Load faili la .env
kwenye mradi wako wa PHP: Katika faili kuu (mfano, index.php
au bootstrap.php
):
require __DIR__ . '/vendor/autoload.php';
use Dotenv\Dotenv;
$dotenv = Dotenv:">
...Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Somo hili litakwenda kukutajia baadhi ya library za php ambazo hutumika kwa matumizi ya ORM
Soma Zaidi...Katika somo hili utajwenda kujifunza jinsi ya kuzuia hacking kwenye website yako
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza ukurasa wa kupost kwa kutumia html form
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza concept mpya ya abstract class na abstract method kwenye OOP.
Soma Zaidi...Katika somo hil utawenda kujifunza jinsi ya ku edit post kwenye databse
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda Jinsi ya kutengeneza ORM inayofanya CDRUDE operation.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia PDO kutengeneza database, kuteneneza table na kuingiza data moja na zaidi ya moja.
Soma Zaidi...Katika post hii utajifunza jinsi ya kupata taarifa muhimu za mtumiaji kw akutumia Ip address yake.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu Authentication header, najinsi ya kutuma taarifa hizo na kuzisoma
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza kuhusu cronjob na matumizi yake kwenye PHP
Soma Zaidi...