Katika somo hili utakwenda kujifunza concept ya iteration kwenye PHP OOP hapa tutakwenda kuiona jinsi inavyofanya kazi pamoja na foreach loop
Iteration ni uwezo wa kuifanya value yeyote iweze kufanyiwa loop kw akutumia foreach(),
<?php
function printIterable( $myIterable) {
foreach($myIterable as $item) {
echo $item;
}
}
$arr = ["a", "b", "c"];
printIterable($arr);
?>
Code hizo hapo juu pia zinaweza kuandikwa katika mtindo huu
<?php
function getIterable() {
return ["a", "b", "c"];
}
$myIterable = getIterable();
foreach($myIterable as $item) {
echo $item;
}
?>
Sasa ngoja tuone kwenye class
Mfano
<?php
class IterableCollection {
private $items;
public function __construct() {
$this->items = ["a", "b", "c"];
}
public function getItems() {
return $this->items;
}
}
$iterableCollection = new IterableCollection();
$items = $iterableCollection->getItems();
foreach($items as $item) {
echo $item;
}
?>
Mfano mwingine:
Katika mfano huu utajifunza jinsi ya kukokotia factorial of number.
<?php
class FactorialCalculator {
private $number;
public function __construct($number) {
$this->number = $number;
}
public function calculate() {
$result = 1;
$numbers = range(1, $this->number);
foreach($numbers as $num) {
$result *= $num;
}
return $result;
}
}
//">...
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Katika course hii utakwenda kujifundisha jinsi ya lutengeneza blog kutoka mwanzo hadi mwisho.
Soma Zaidi...Faili la env ni moja kati ya mafaili ambayo ni muhimu kwa usalama wa project. Fili hili hutumika kuhifadhi data za siri
Soma Zaidi...katika post hii utajifunza jinsi ya kutengeneza ukurasa wa dashboard kwa ajili ya kutibti post
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza concept mpya ya abstract class na abstract method kwenye OOP.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ktumia baadhi ya function za php
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia database ya sqlite kwa kutumia PHP.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunz ajinsi ya kuandika query ndani ya ORM. Hii inakupa uhuru wa kufanya kileunachotaka bila ya kuathiri usalama wa project
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kufanya encryption na decryption kwa kutumia PHP. hii itakusaidia kuongeza usalama kwenye taarifa za watu
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ku generate PDF automatik kutoka kwenye php code , html, javascript na css.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutuma email ambayo ina HTML, pia utajifunza kutuma email yenye picha na attachment nyinginezo kama pdf
Soma Zaidi...