Katika somo hili utakwenda kujifunza concept mpya ya abstract class na abstract method kwenye OOP.
Abstract class ni nini?
Abstract class ni class ambayo moja katika method zake ni abstract method. Nini sasa abstract method?. Hi ni method ambayo imetajwa tu jina lakini implementation (vitendea kazi vyake) yake hupatikana kwenye child class.
Ili kutengeneza abstract class ama abstract method utatumia keyword abstract angalia mfano hapo chini
<?php
abstract class gari{
abstract public function jina();
abstract public function tangazo($aina, $speed);
}
Utaona hapo kuna abstract class gari, ama abstract method mbili ambazo ni jina na tangazo.
Abstract method inaweza kutumiawa zaidi ya mara moja kwenye child class. Yaani unaweza kuwa na child class zaidi ya moja na zote zikatumia abstract method moja. Mambo ya kuzingatia unapotumia abstract method:
Angalia mfano hapo chini:-
<?php
// Abstract class
abstract class Gari {
//abstract function
abstract function tangazo();
}
class post extends Gari {
function tangazo() {
echo "Tunauza gari aina zote";
}
}
$news = new post();
$news->tangazo();
?>
Tunau">...
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utajifunza jinsi ya kukusanya taarifa ambazo watu wamezijaza kwa kutumia fomu ya html. Kisha utajifunza jinsi ya kuzisoma hizo taarifa.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutuma email ambayo ina HTML, pia utajifunza kutuma email yenye picha na attachment nyinginezo kama pdf
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia constatnt kwenye class.
Soma Zaidi...Hapa utajifunza jinsi ya kutengeneza table ambayo tutaitumia kwenye blog yetu
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuzungumza na server ili kutengeneza mafaili, mafolda, kufuta na ku edit kwa kutumia PHP.
Soma Zaidi...hapa utawenda utuma database wa ajl ya utengeneza maudhu ya PDF.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza class na object. Tunakwenda kutumia mfano wetu wa hapo juu kwa ajili ya kukamilisha somo hili.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza ni kwa namna gani utaweza kuzitumiadata za jsonkwenye program yako
Soma Zaidi...Haya ni mabo ya kuzingatia unapo encode ama ku decode data za json
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu http redirect header
Soma Zaidi...