PHP somo la 98: Library za PHP ambazo unaweza kutumia ORM

PHP somo la 98: Library za PHP ambazo unaweza kutumia ORM

Somo hili litakwenda kukutajia baadhi ya library za php ambazo hutumika kwa matumizi ya ORM

Kuna library kadhaa za PHP ambazo unaweza kutumia kwa ORM (Object-Relational Mapping) bila kuhitaji kutumia framework kama Laravel au Symfony. Hapa kuna baadhi ya bora zaidi:


1. Eloquent (Standalone)


2. Doctrine ORM


3. RedBeanPHP


4. Medoo


5. Paris + Idiorm


Nini Unapaswa Kuchagua?

Library Faida Hasara
Eloquent (Standalone) Ina nguvu na ni rahisi kama unajua Laravel Inaleta dependencies nyingi
Doctrine ORM Ina nguvu sana na inafuata OOP kwa kina Inahitaji kujifunza configuration
RedBeanPHP Haihitaji configuration, ni rahisi sana Inaweza kuwa nzito kwenye projects kubwa
Medoo Nyepesi, rahisi kutumia Haina feature nyingi za ORM halisi
Paris + Idiorm Rahisi kwa matumizi ya SQL-style ORM Ina community ndogo

 

Ikiwa unataka ORM rahisi bila kuingia kwenye configuration nyingi, RedBeanPHP au Medoo ni chaguo zuri.
Ikiwa unataka ORM yenye nguvu zaidi, Eloquent au Doctrine ni bora.


 

CHAGUO LETU KATIKA LIBRARY HIZO

RedBeanPHP ni chaguo bora kwa miradi midogo na ya kati kwa sababu ni rahisi kutumia, haina configuration nyingi, na inaweza kujenga database yenyewe bila migrations.

Kwa mujibu wa mafunzo haya tutatumia library ya ReadBeanPHP ili kuonyesha uhalisia wa jinsi ORM zinavyoweza kufanya kazi katika uhalisia wake.


1. Install RedBeanPHP

Kama unatumia Composer, ingiza amri hii kwenye terminal yako:

composer require gabordemooij/redbean

Hata hivyo njia ya composer haipendekezwi kutumiwa. Wenyewe waliotengeneza library hiyo wanapendekeza u download faili moja kw amoja kwenye website yao. Tembelea link hii unaweza kupakua rb.php kutoka ? RedBeanPHP Official


2. Unganisha na Database

Katika faili lako la PHP, ongeza RedBeanPHP na unganishe na database yako. katika mfano ha...

Ingia sasa ili uweze kusoma makala hii yote.

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2025-03-16 15:22:25 Topic: PHP Main: Masomo File: Download PDF
Views: 834

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉2 ai web app     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Kitabu cha Afya     👉5 Dua za Mitume na Manabii     👉6 Simulizi za Hadithi Audio    

Post zinazofanana:

PHP BLOG - somo la 10: Jinsi ya kufanya sanitization

Katika somo hili utajifunza jinsi ya kufanya sanitization kwenye user input ili kuzuia sql injection kwenye database.

Soma Zaidi...
PHP - somo la 62: Project ya CRUDE operation kwa kutumia PHP - OOP na MySQL database

Katika project hii utakwenda kujifunza jinsi ya kufanya CRUDE operation kwa kutumia PHP OOP na MySQL database.

Soma Zaidi...
PHP somo la 56:class interface na polymorphism kwenye PHP OOP

Katika somo hili utakwenda kujifunza concept ya interface na concept ya polymorphism kwenye PHP OOP.

Soma Zaidi...
PHP - somo la 11: Jinsi ya kutuma tarifa zilizojazwa kwenye form

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kukusanya taarifa za watumiaji kwa kutumia html form.

Soma Zaidi...
PHP somo la 64: Jinsi ya kutengeneza database na kuingiza data kwa kuumia PDO

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia PDO kutengeneza database, kuteneneza table na kuingiza data moja na zaidi ya moja.

Soma Zaidi...
PHP somo la 50: Jinsi ya kutengeneza CLASS na OBJECT kwenye PHP OOP

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza class na object. Tunakwenda kutumia mfano wetu wa hapo juu kwa ajili ya kukamilisha somo hili.

Soma Zaidi...