Katika somo hili utakwenda kujifunza kazi na matumizi ya construct function na desctruct function kwenye OOP
Matumizi ya __construct() function kwenye class.
Hii hutumika Ili kuweza kuanzisha (iniate) object mara TU baada ya kutengeneza. Kuanzisha object ni kule kuipa thamani value yake. Kama tulivyoona huko mwanzoni baada ya kutengeneza object Kisha tukaioa thamani yake.
Tunatumia alama mbili za underscore yaani (_ _).
Sasa unapotumia __construct() function basi value ya object utaweka Moja kwa itMoja pinde TU unapotengeneza object.
Mfano:
<?php
class gari{
public $name;
function __construct($name){
$this->name = $name;
}
function get_name(){
return $this->name;
}
}
//tengeneza object
$jina = new gari("toyota");
echo $jina->get_name();
?>">...
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu Cookie Headers
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza ni kwa namna gani utaweza kuzitumiadata za jsonkwenye program yako
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma data kwenye database kwa kutumia PDO.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kufanya sanitization kwenye user input ili kuzuia sql injection kwenye database.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifundisha jinsi ya kutafuta taarifa maalumu kwenye database kwa kutumia PHP
Soma Zaidi...Katika course hii utakwenda kujifundisha jinsi ya lutengeneza blog kutoka mwanzo hadi mwisho.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kuhifunza kuhusu Custom header na aina zake
Soma Zaidi...Katika somo hili utaweza kujifunza ni kwa nambna gani utaweza kutengeneza blog post na kuisoma kwa kutumia data za json
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza Jinsi ya kutumia ORM kwa kutumia library ya RedBeanPHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ktumia baadhi ya function za php
Soma Zaidi...