Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu http redirect header
Redirect header hii hutumika kuhamisha response kwendakwenye ukurasa mwingine. Yaani unaweza kuhamishwa kutoka ukurasa ambao upo kwa sasa, na kupelekwa kwenye ukurasa mwingine.
Redirect header huwekwa kwa kutumia http header field ya location.ikifuatiwa na link ya ukurasa ambao una response. Sasa redirect header inakuwa pamoja na http status.
Http status hii nihali ya ukurasa wa wavuti. Kwa mfano kabla hujafanya redirect kwenda kwenye ukurasa mwingine utatoa taarifa kwenye brower kuwa ukurasa huu umefanyiwa redirect permanent, ama temporary ama vinginevyo. Pia ni vyema kuweka exit() au die() baada ya redirect ili kuzuia kabisa execusion ya code. Ni kwa sababu sheria zinataka kuwa baada ya kutumia http redirect kusifuatiwe na maudhui mengine.
Sasa hizi permanent na temporary na nyininezo ni hal za hiyo http redirect. Tofauti na kutumia haya maneno utatumia code zake kutambulisha browser. Brower itaelewa hizo code. Wacha tuzione.
Http status code:-
301 - moved permanently hii humaanisha kuwa response ya ukurasa wa saa imehamishwa kwenye ukurasa mwingine permanent. Unapoweka hii ya permanent unaiambia search engine kama google ama mtumiaji kuwa huu ukurasa hautatumika tena, hivyo ni vyema kutumia ukurasa ambao utaweka kwenye redirect.
Mfano:
header('HTTP/1.1 301 Moved Permanently');
header('Location: https://example.com/new-url');
exit;
302 Found (temporary redirect) hii ina maana redirect hii ni temporary. Hii ina maana unaiambia search engine ama mtumiaji kuwa maudhui ya ukurasa huu yamehamishwa kwenye ukurasa mwingine temporary lakini anaweza kuaendelea kutumia ukurasa huu.
Mfano:
header('HTTP/1.1 302 Found');
header('Location: https://example.com/temporary-url');
exit;
30">...
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hilibutajifunza maana ya cURL pamoja na matumini yake
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi jinsi ya ku edit ama ku update data na kuzifuta kwenye database kwa kutumia PDO
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kazi na matumizi ya construct function na desctruct function kwenye OOP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma data kutoka kwenye database kwa kutumia PHP.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya ku connect database, kwa kutumia php
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ku generate PDF automatik kutoka kwenye php code , html, javascript na css.
Soma Zaidi...katika post hii utajifunza jinsi ya kutengeneza ukurasa wa dashboard kwa ajili ya kutibti post
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kujusu PHP variable, maana yake na sheria za uandishi wa variable
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunz akuchakata data zaidi kw akutumia ORM kama ku join table
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza concept ya interface na concept ya polymorphism kwenye PHP OOP.
Soma Zaidi...