Faida za kiafya za kula Ukwaju

Faida za kiafya za kula Ukwaju
- ukwaju una virutubisho kama vitamini C, K, B6, B1, B2 na B3, madini ya chuma, potassium, magnesium na phosphorus.
- Husaidia kuimarisha afya ya moyo
- Husaidia kushusha presha ya damu
- Husaidia mwili kupambana na mashambulizi ya bakteria, fangasi na virusi
- Huzuia kuziba kwa choo na kuharisha
- Husaidia katika kulinda afya ya ini
- Husaidia wajawazito kuondoa kichefuchefu
- Husaidia katika kuthibiti uzito
- Hupunguza kasi ya kuzeheka haraka
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
Share follows: 0 |
Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Simulizi za Hadithi Audio 👉2 kitabu cha Simulizi 👉3 web hosting 👉4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉5 Dua za Mitume na Manabii 👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
👉1 Simulizi za Hadithi Audio 👉2 kitabu cha Simulizi 👉3 web hosting 👉4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉5 Dua za Mitume na Manabii 👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
Post zinazofanana:
Vyakula na ugonjwa wa kisukari
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya vyakula vimpasavyo mgonjwa wa kisukari
Soma Zaidi...Mafidodo (mafindofindo) au tonsils kweye koo je inaweza ikawa Ni moja kati ya dalil za ukimwi
Tezi za lymph huanza kuonyesha dalili za kuwa mwili upo katika mapambano dhidi ya vijidudu vya maradhi. Ishara ni pale utakapoona tezi za lymph zina maumivu. Tezi hizi hupatikana kwenye mapaja, kwapa nashingo.
Soma Zaidi...