Je umesha wahi kujiuliza kuwa ni vinywaji vipi mwenye presha ya kupanda anafaha kutumia, Unadhani ni maji, mvinyo wa pombe, chai na kahawa. Bila shaka ungependa kujuwa zaidi kuhusu jambo hili. Makala hii ni kwa ajili yako
Preha ya kupanda hutokea pale kiwango cha kawaida cha presha katika damu kikawa ni kidogo. Kwa mfano kawaida presha ya mtu kwenye damu inatakiwa iwe 120/80 ikizidi hapo inakwenda kuwa presha ya kupanda. Presha ya kupanda ipo katika hatuwa nyingi. Kila hatuwa inapasa kuangaliwa kwa mazingatio. Presha ya kupanda kama haita tibiwa inaweza kusababisha madhara kwenye moyo na kuweza kusababisha stroke.
Vinywaji salama kwa mwenye presha ya kupanda.
1. Maji,
Kunywa maji kuna faida kwa afya ya kila mtu. Maji ni katika vinywaji ambavyo mgonjwa huyu atumie muda mwingi. Ila wakati presha ikipanda aweke chumvi kwenye maji yake ili kusaidia kuishusha.
2. Juisi za matunda
3.Maziwa
4. kahawa inategemea. Kuna wengine inawasaidia kushusha lakini wengine ndio inaongezeka
5. Chai yenye kafein sio nzuri kwani inaweza kuongeza presha
7. Pombe pia sio nzuri kwa mwenye presha
VYAKULA SALAMA KWA PRESHA YA KUPANDA
A.Matunda
B.Mboga za majani
C.Nafaka nzima
D.Samaki, karanga na korosho
E.Wacha kula vyakula vyenye mafuta mengi
Umeionaje Makala hii.. ?
Hapa utajifunza kuhusu kazi za protini mwilini na vyakula vipi vina protini kwa wingi
Soma Zaidi...Sifanjema Ni za Mwenyezi Mungu aliyetupa Afya njema hata kuifanya kazi hii mpaka kufiia hapa.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi virutubisho vya mwili, ni aina tano za vyakula ambayo ufanya kazi mbalimbali kwenye sehemu za mwili wa binadamu.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula senene, panzi na kumbikumbi
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula vya vitamini na faida zake
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za tangawizi
Soma Zaidi...utajifunza njia za kuzuia kiungulia, dalili za kiungulia na dawa ya kutibu kiungulia.
Soma Zaidi...