Posti hii inahusu zaidi kuhusu njia za uzazi wa mpango, uzazi wa mpango ni njia za kupanga uzazi Ili kupata idadi ya watoto unaohitaji
Njia za uzazi wa mpango
1. Kutumia vidonge
_ hii ni njia inayotumiwa na wanawake kwa kutumia vidonge Ili kuzuia mimba isitungwe
2.Njia ya kutumia sindano
_ hii ni njia ya uzazi wa mpango ambapo wanawake uenda hospitalini au kwenye kituo chochote Cha afya kudungwa sindano kwa ajili ya kuzuia mimba zisizotarajiwa
3. Kutumia condom
_ hii ni njia ambapo mwanaume na mwanamke utumia mpira Ili kuzuia mbegu za kiume kuingia kwenye uke kwa hiyo mimba haiwezekani kutungwa
4. Kutumia kitanzi
_ hii ni njia ambapo kitanzi hufungwa kwenye mishipa ya damu ya mwanamke kwa hiyo huzuia kushika kwa mimba
5. Kukata milija mwanamke na mwanaume
_ hii njia inapotumika huzuia mayai kupanda kutoka kwenye ovary mpaka kwenye tube kwa ajili ya kurutubishwa na mbegu haziwezi kupanda kwa sababu milija itakuwa imekatwa.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi sababu za kuwepo kwa Ugonjwa wa fangasi,ni sababu mbalimbali ambazo zinaweza kusababisha fangasi.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea njia za asili walizotumia zamani katika kupima ujauzito
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili za kupasuka kwa mfuko wa uzazi,ni Dalili ambazo ujitokeza kwa Mama ambaye anakuwa amepasuka mfuko wa kizazi.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sababu za mfuko wa kizazi kushindwa kisinyaa, ni sababu ambazo utokea kwa akina Mama wengi kadri ya wataalamu wametafuta asilimia kuwa asilimia sabini ya wanawake mifuko yao ya kizazi kushindwa kisinyaa.
Soma Zaidi...Kama unapata maumivu wakati wa tendo la ndoa, suluhisho lako lipo kwenye makala hii
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi imani potofu kwa mwanamke mwenye mimba, ni Imani ambazo zimekuwepo kwenye jamii kuhusu wanawake wenye mimba.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mabadiliko kwenye ngozi wakati wa ujauzito, ni mabadiliko yanayotokea kwenye ngozi ya Mama wakati wa ujauzito.
Soma Zaidi...Utajifunza sababu za kuweo kwa maumivu ya uume wbaada ya tendo la ndoa na wakati wa tendo la ndoa.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi tabia mbalimbali za Ute wa ovulation kwa sababu Ute huu huwa tofauti na Ute mwingine kwa sababu ya kuwepo kwa tabia zake za kipekee kama tutakavyoona.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu msaada kwa mwenye maumivu ya tumbo la hedhi, hizi ni huduma ambazo utolewa kwa wale wenye maumivu ya tumbo la hedhi.
Soma Zaidi...