Kondo la nyuma ni sehemu ya mwili wa mama anapokuwa mjamziti,kondo la nyuma husaidia katika kazi mbalimbali katika ukuaji wa mtoto.
Umuhimu wa kondo la nyuma kwa mtoto pale mama anapokuwa mjamzito.
1. Husaidia kusafirisha gas ya oxygen kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto.
2. Husaidia kusafirisha damu chafu ya corbondioxide kutoka kwa mtoto kwenda kwa mama.
3. Husaidia kusafirisha uchafu kutoka kwa mtoto kwenda kwa mama Kisha kutolewa nje kama uchafu mwingine.
4. Husaidia kuzuia wadudu na sumu kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto ambavyo inaweza kuleta madhara
5. Husaidia pia kusafirisha vitamin na madini kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto.
Kwa ujumla kondo la nyuma Lina kazi kubwa katika makuzi ya mtoto akiwa tumboni mwa mama yake, kwa hiyo tunapaswa kumlinda mama akiwa na mimba kw kufanya yafuatayo,
1. Kuhakikisha mama amepata hewa Safi.
2. Kumpatia chakula Cha kutosha
3. Kumpatia madini yabayohitajika.
4. Kuepuka a na kutumia vyakula vyenye sumu.
Kwa kufanya hayo tutaweza kufanya kondo la nyuma lifanye kazi yake vizuri.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inahusu zaidi watu ambao hawapaswi kutumia njia za uzazi wa mpango, Ni watu ambao Wana matatizo mbalimbali endapo wakitumia wanaoweza kuleta madhara mbalimbali.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi upungufu wa homoni hii ya cortisol,hii ni homoni ambayo utokana na tezi glang(adrenal gland) kufanya kazi kupitiliza hali ambayo mara nyingi husababishwa na msongo wa mawazo wa mda mrefu, yaani wale watu ambao mda mwingi huwa wenye
Soma Zaidi...Kupungua kwa idadi ya mbegu za kiume kunamaanisha kuwa Majimaji (shahawa) unayotoa wakati wa kufika kileleni huwa na mbegu chache kuliko kawaida. Hesabu yako ya manii inachukuliwa kuwa chini kuliko kawaida ikiwa una chini ya mbegu milioni 15. Kuwa na idad
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi huduma kwa mama ambaye mimba imetoka moja kwa moja, aina hiyo ya mimba kwa kitaalamu huitwa complete abortion.
Soma Zaidi...Je na wewe ni moja kati ya wake ambao wanahitajivkujuwa siku za kupata mimba. Ama siku za competes mwanamke mimba. Post hii ni kwa ajili yako.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dalili za mimba kutoka, hizi ni dalili ambazo ujitokeza kwa mimba zote ambazo utaka kutoka kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu damu, uteute na maji yanayotoka ukeni kipindi cha ujauzito
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mambo anyopaswa kujua akiwa mjamzito. Ni mambo muhimu ya kuzingatia kwa mama akiwa mjamzito.
Soma Zaidi...