Dalili za kuvimba kwa ovari.

Dalili za kuvimba kwa ovari.

  Posti hii inazungumzia kuhusiana na kuvimba kwa ovari kunakosababishwa na maambukizo ya bakteria na kawaida huweza kusababishwa na magonjwa sugu katika Maambukizi ya mfumo wa Uzazi wa mwanamke.

Dalili na ishara za Mgonjwa  aliye vimba ovari
 

 1.maumivu katika tumbo la chini. Kutokana na uvimbe uliojitokeza  kwenye ovari.

 2.damu ya hedhi ambayo ni nzito kuliko kawaida kutokana na viuvimbe vidogovidogo vilivyopo kwenye Njia ya Uzazi 

 3.kutokwa na damu kati ya mzunguko wa hedhi.Na hedhi hii huwa na maumivu makali kuliko Kawaida .


4. maumivu au kutokwa na damu wakati wa kujamiiana.hii Ni mbaya kwasababu hupelekea maumivu wakati wa tendo la ndoa pia na Damu kutoka.


 5.kutokwa na uchafu mwingi wa uke, ambao unaweza kuwa na harufu mbaya.na uchafu huu huaribu mfumo mzima wa Uzazi pia kupelekea kansa ya kizazi.


 6.kuungua au maumivu wakati wa kukojoa,mkojo kutoka na Moto (burning urination) ambapo hupelekea maamivu makali wakati tu wa kukojoa


7. ugumu wa kukojoa. Muda mwingine hupelekea kushindwa kukojoa kabisa au mkojo kutoka kidogo Sana au kutokutoka kabisa.


8. homa, baridi kichefuchefu na kutapika, kutoka na maumivu makali ya tumbo.

Mwisho,kwa mwenye Dalili za ovari anatakiwa kupata huduma ya haraka, pia anashauriwa aache kufanya tendo la ndoa mara atakapogundua anaugonjwa huu na anashauriwa asishikiri tendo la ndoa wakati wa matibabu mpaka atakapopona.

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Uzazi Main: Post File: Download PDF Views: 2339

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Dua za Mitume na Manabii     👉4 web hosting     👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉6 Kitabu cha Afya    

Post zinazofanana:

Dalili za kifafa cha mimba.

Posti hii inahusu zaidi Dalili za Mama mwenye kifafa cha mimba, ili kifafa cha mimba kiweze kutokea lazima kuna dalili ambazo uweza kutokea kwa Mama kama ifuatavyo.

Soma Zaidi...
Hatua za Kuzuia Maambukizi ya Uvimbe kwenye ovari na mirija ya uzazi

Posti hii inazungumzia kuhusiana na hatua za kujikinga na Maambukizi ya Uvimbe kwenye ovari na kwenye mirija ya uzazi

Soma Zaidi...
Njia za uzazi wa mpango kwa watu wenye Ukimwi

Posti hii inahusu zaidi njia za uzazi wa mpango kwa watu waliopata maambukizi ya Virusi vya Ukimwi.

Soma Zaidi...
Hatua za ukuwaji was mimba na dalili zake

Somo hili linakwenda kukuletea hatua za ukuaji mimba na dalili zake

Soma Zaidi...
Vyakula hatari kwa mjamzito mwenye mimba na mimba changa

Vyakula hivi hapasi kuvila mwanamke mwenye ujauzito kwa kiasi kikubwa, hasa yule mwenye mimba chaga

Soma Zaidi...