Madhara ya kutumia vidonge kwa akina dada vya uzazi wa mpango

Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea kwa sababu ya kutumia vidonge vya uzazi wa mpango kwa akina dada.

Madhara ya kutumia vidonge kwa akina dada.

1. Kwa kawaida jinsi tunavyoelewa ni kwamba watu wenye familia ndio wenye haki ya kutumia vidonge vya uzazi wa mpango ila Kuna kipindi na akina dada wanajiingiza kwenye huduma hii mapema kabisa na kwa mda mrefu bila ya kuwa na mda wa kupata watoto hivi karibuni kwa hiyo akina dada tunapenda kuwapatia baadhi ya madhara yanayoweza kutokea kama ifuatavyo.

 

2. Kuharibu mfuko wa kizazi nakuwepo kwa uvimbe.

Kwa sababu ya matumizi ya mara Kwa mara yanaweza kusababisha mfuko wa kizazi kuharibika na baadae uvimbe hali inayosababisha mimba kukosa hapo baadae.

 

3  kuongezeka kwa uzito usio wa kawaida.

Kwa sababu ya meongezeko wa homoni hali ambayo usababisha Wadada kuwa na unene usio wa kawaida .

 

4. Maumivu ya kichwa ya mara Kwa mara.

Kwa sababu ya kubadilika kwa hali ya mwili usababisha kuwepo kwa maumivu ya kichwa ya mara Kwa mara.

 

5. Pengine kutopata hedhi kwa mda mrefu.

Kuna kipindi matumizi yakiwa ya mda mrefu na hedhi pia ukoma hali inayosababisha mrundikano wa uchafu mwilini na kusababisha magonjwa yasiyotarajiwa.

 

6. Kubadilika kwa hedhi.

Kuna wakati mwingine hedhi uja zaidi ya mara Moja kwa mwezi au kutumia mda mrefu na nzito au nyepesi hali inayosababisha upungufu wa damu mwilini.

 

7. Kuharibika kwa ini.

Kwa kawaida ini uchuja sumu na dawa na uchafu mwingine kwa hiyo inn likichuja dawa kwa mda mrefu usababisha kuchoka na kuharibika.

 

8 kupooza upande mmoja wa mwili kwa sababu ya kuwepo kwa Sumu nyingi mwilini hali I ayosababisha damu kushindwa kusafiri na kusababisha kupooza.

 

9. Kuwepo kwa magonjwa ya moyo.

Kwa sababu ya kuongezeka kwa Sumu mwilini kwa hiyo moyo ushindwa kusukuma damu hivyo kuwepo kwa magonjwa.

 

 Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/07/Thursday - 05:15:42 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 2160


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-