Sababu za uke kuwa na harufu mbaya.

Posti hii inahusu zaidi sababu za kuwepo kwa harufu mbaya kwenye uke ukizingatia usafi huwa unafanyika mara kwa mara ila harufu bado inaendelea kuwa mbaya kwa hiyo tutaona sababu hapo chini.

Sababu za kuwepo kwa harufu mbaya kwenye uke.

1. Sababu ya kwanza ni uharibifu wa ph kwenye uke unaosababishwa na vitu mbalimbali kama vile kutumia sabuni za harufu nzuri ambazo zina chemikali kubwa na kusababisha ph kuharibiwa hali inayosababisha kuendelea kukua na kuongezeka kwa bakteria na virusi na kusababisha uke kutoa harufu mbaya kwa sababu ya walinzi wa uke ambao ni bakteria wazuri wameharibiwa na sabuni na kemikali

 

2. Kukosekana kwa hewa safi ya oksijeni kwenye uke.kuna wakati mwingine oxgeni inakosa sana kwa sababu uke unabanwa na nguo zilizobana na kwa wakati mwingine wakati wa usiku tunalala na nguvu nyingi hatimaye kulala tukiwa tumevaa chupi na kuzuia hewa kuingia kwenye uke hali inayosababisha uke kutoa harufu mbaya.

 

3. Magonjwa ya zinaa.

Vile vile naagonjwa ya zinaa usababisha kuwepo kwa harufu mbaya kwenye uke, kwa sababu ya hali ya maambukizi bwana,na pia inaseenekave

Kwamba magonjwa ya zinaa ndicho chanzo kikubwa cha kupata harufu mbaya ukeni.

 

4. Upungufu wa kinga mwilini.

Kwa kawaida mgonjwa mwenye kinga kidogo ya mwili usababisha kila nyemelezi, yaani ugonjwa huu unaweza kumshambulia kwa hiyo ni vizuri kabisa kumpa nafasi ya kupumzika.

 

 

 

 

 

 Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/12/Tuesday - 03:22:13 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 204


Download our Apps
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-