Njia za kuongeza nguvu za kiume
Somo hili linakwenda kukueleza njia za kuongeza nguvu za kiume
NJIA ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME:
Tofauti na vyakula lakini pia zipo njia nyingine kama kupata ushauri kwa wataalamu wa afya ya mahusiano. Hapa nitakuletea orodha ya njia za kuongeza nguvu zakiume. Njia hizo ni kama:-
Kufanya mazoezi: mazoezi yamegawanyika katika mafungu mengi. Ila tambuwa kuwa yapo mazoezi ambayo ni mujarabu sana katika kuongeza nguvu za kiume. Swali la msingi hapa je ni mazoezi gani yanayoongeza nguvu za kiume?
1. Kukimbia mwendo mdogo maarufu kama joging. Mazoezi haya husaidia katika kuboresha mzunguko wa damu, pia kiboresha mishipa inayozuia uume kuwa imara. Joging inatakiwa ifanyike kistaarabu. Joging pia itakusaidia kuongeza pumzi na kuweza kuhimili vyema tendo.
2. Kutembea kwa miguu; vyema ukaupa mazoezi mwili wako, mazoezi ya kutembea pia yanatosha. Angalau upate kama nusu saa ya kutembea kwa mguu. Hii inaweza kusaidia katika kuboresha mzunguko wa damu vyema, kwenye maeneo yote yammwili na kubust mishipa ya uume kufikiwa na damu vyema
3. Pushapu; hii ni muhimu hasa kwa wale wanaohitaji kuwa na misuli imara. Pushapu inahusisha viungo vingi kuanzia miguuni hdi shingini. Pushapu inaweza kusaidia katika kuboresha mzunguko wa damu ambao ni muhimu katika afya ya nguvu za kiume. Pushapu pia itakuongezea pumzi ambayo utaitumia wakati wa kushiriki.
4. Kama utakuwa na kamba ya kuruka, itumie vyema. Kamba ni katika mazoezi ambayo yanahusisha takribani mwili mzima. Hivyo inaweza kusaidia katika kuufanya mwili kuwa imara na kuufanya mwili uweze kuhimili vyema tendo la ndoa.
5. Fanyika mazoezi mshipa wa uume. Mshipa huu ni ule ambao unapokojoa unapotaka kuukata mkojo kuna mshipa utahisi unevutika unapokata mkojo. Mshipa huu unapatikana sehemu iliyo kati ya tundu la haja kubwa kuelekea kwenye shina la uume. Mshipa huu utaufanyisha mazoezi kwa kuukaza na kuuachia kama vile unavyokata mkojo na kuuashia. Hakikisha unapofanya zoezi hili huna mkojo.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
π1 web hosting π2 ai web app π3 Tafasiri ya Riyadh Swalihina π4 Dua za Mitume na Manabii π5 Bongolite - Game zone - Play free game π6 Kitabu cha Afya
Post zinazofanana:
Mimi nilipima na kipimo mwenyewe nkakuta mistari miwili iliokoza lkn nikifanya tendo nakua naumia sana tatizo ni Nini docta
Je anapatwa maumivu Γ°ΕΈΛΒ makali wakati wa tendo la ndoa ama ukiwa katika hedhi? Soma makala hii hadi mwisho
Soma Zaidi...Je bado unasumbuliwa na nguvu za kiume?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kuondoa tatizo la nguvu za kiume
Soma Zaidi...Faida na hasara za Kufunga kizazi kwa Wanaume
Posti hii inazungumzia Faida, hasara, na madhara ya Kufunga kizazi kwa Wanaume.
Soma Zaidi...Faida za kula yai lililopikwa kwa mama mjamzito
Yai lililopikwa ni chanzo kizuri cha protini, vitamini, na madini muhimu kwa mama mjamzito. Husaidia katika ukuaji wa mtoto tumboni, afya ya mama, na kuimarisha kinga ya mwili.
Soma Zaidi...Madhara ya kufanya tendo la ndoa na mwanamke akiwa katika siku zake.
Tendo la ndoa wakati wa siku za hedhi ni halia mbayo jamii nying zinakataza. Katika vitabu vya dini pia haviruhusu, hata ki saikolojia utaona kuwa sio jambo jema. Hata hivyo hapa ninakuletea madhara yake kiafya
Soma Zaidi...TATIZO LA KUVIMBA KWA USO NA MIGUU KWA WAJAWAZITO
KUVIMBA VYA MIGUU KWA WAJAWAZITO Kuvimba kwa miguu ni hali inayowapara wengi katika wajawazito.
Soma Zaidi...