Habari nilitaka kujua kuhusu ugonjwa wa fungusi kwenye uume

Je na wewe unasumbuliwa na fangasi wenye uume. Post hii ni kwa ajili yako.

Swali: 

' Habari nilitaka kujua kuhusu ugonjwa wa fungusi kwenye uume'

 

Jibu: '

Kwanza ungezitambua dalili za fangasi hao.  Huwenda unahisi no fangasi kunbe sio. Wacha kwanza tuzione dalili za fabgasi kwenye uume: 

' Kuwashwa

' Kutokwa na uchafu

' Kubabuka kwa ngozi ya uume

' Ngozi ya uume kuwa na rangi tofautitifauti

' Kutokwa na mabakomabako kwenye ngozi ya uume

' Kuoatwa na maumivu wakati wa tendo la ndoa na baada. 

 

' Matibabu: 

Fika kituo cha afya upate vipimo na dawa.  Ama fika duka la dawa mwambie akupatie dawa za fangasi. Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/05/13/Friday - 06:48:53 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 946


Download our Apps
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-