Mzunguko wa mwezi kwa mwanamke
Posti hii inahusu zaidi mzunguko wa mwezi kwa mwanamke, ni mzunguko ambao huchukua siku ishilini na nane kwa kawaida Ila lla ubadilika kulingana na mtu, Ila ngoja tuangalie siku ishilini na nane tu.
Mzunguko wa mwezi kwa mwanamke uanza tu pale siku ya kwanza anapotoka damu, kipindi hiki kwa kawaida uchukua siku Tano.
Baada ya hapo siku ya sita mpaka Kumi mwanamke hawezi kubeba mimba hizo huitwa siku salama.
Siku ya Kumi na moja mpaka Kumi na nne ni siku za kubeba mimba kwa kawaida huitwa ovulation day yaan yai utoka kwenye ovari na kuja kwenye milija kwa ajili ya kurutubishwa hizi ni siku za kubeba mimba
Siku ya Kumi na Tano mpaka ishilini na nane ni siku salama, mwanamke hawezi kubeba mimba.
Ikumbukwe kuwa mbegu za mwanaume ukaa kwenye via vya uzazi kwa mda wa siku Tano, kwa hiyo basi tunapoesabu siku hizi tukumbuke na hilo tusije kunichanganya.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
๐1 Tafasiri ya Riyadh Swalihina ๐2 Kitabu cha Afya ๐3 kitabu cha Simulizi ๐4 ai web app ๐5 Simulizi za Hadithi Audio ๐6 web hosting
Post zinazofanana:
HUDUMA YA KWANZA KWA MTU ANAYETOKWA NA DAMU YA PUA
Kama mtu anatokwa na damu za pua, basi juwa kuwa anahitaji huduma ya kwanza.
Soma Zaidi...Yajue malengo ya kusafisha vidonda.
Posti hii inahusu zaidi malengo ya kusafisha vidonda, kwa sababu Kuna watu wengine huwa wanajiuliza kwa nini nisafishe kidonda hospitalini au kwenye kituo chochote Cha afya, yafuatayo ni majibu ya kwa Nini nisafishe kidonda.
Soma Zaidi...Umuhimu wa pua kama mojawapo ya mlango wa fahamu
Post hii inahusu zaidi umuhimu wa pua kama mojawapo ya mlango wa fahamu.pua ni mlango wa fahamu ambao uhusika na kupumua.
Soma Zaidi...HUDUMA YA KWANZA KWA ALIYENGโATWA NA NYUKI
Kungโatwa na nyuki kunaweza kukahitaji huduma ya kwanza kwa haraka kama mgonjwa ana aleji na nyuki.
Soma Zaidi...Sababu za michubuko kwa watoto wanaozaliwa
Post hii inahusu zaidi sababu za michubuko kwa watoto wanaozaliwa,ni sababu ambazo uweza kuchangia kuwepo kwa michubuko kwa watoto wanaozaliwa.
Soma Zaidi...