Mdomo kuwa mchungu ni halia mabayo haiashirii ishara mbaya za kiafya. Mdomo unaweza kuwa mchungu kutokana na vyakula. Pia hutokea ikawa ni ishara ya baadhi ya maradhi, ama ni matokeo ya baadhi ya shda za kiafya. Je vipi kuhusu maumivu ya matiti na tumb?
Swali:
Nikila tumbo linauma, mdomo mchungu, matiti yanauma na hedhi sijapata, je ni dalili za mimba?
Jibu:
Maumivu ya tumbo baada ya kula upo uwezekano husababishwa na aina ya chakula ulichokula, pia inawezekana gesi tumboni, eisha ilisha kuwepo hivyo baada ya kula ikaongezeka, ama chakula ulichokula kina gesi sana.
Maumivu ya matiti inaweza kuwa kweli ni dalili ya ujauzito. Hata hivyo mabadiliko ya homonikwa mwanamke yanaweza pia kuashiria kwa kutokea kwa maumivu ya matiti. Infection ya bakteria inaweza pia kuleta hali kama hii. Fika kituo cha afya kupata vipimo zaidi.
Kukosa hedhi ni moja ya dalili ambazo wanawake wengi hudhani kuwa ni wajawazito pindi wanapokosa hedhi. Itambulike kuwa kukosa hedhi kunaweza kusababishwa na mabo mengi sana kama:-
1. Mabadiliko ya homoni
2. Ujauzito
3. Vyakula
4. Shughuli za kila siku
5. Mabadiliko ya hali ya hewa
6. Umri
7. Saikolojia kubadilika kutokana na misongo ya mawazo
8. maradhi kama PID
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi njia ambazo mtu anapaswa kutumia ili kuweza kupunguza tatizo hili kisiweze kutokea na pia kama jamii ikishirikiana kwa pamoja tunaweza kuepusha kwa kufanya yafuatayo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ya kutumia madawa ya kupunguza maumivu,ni madhara ambayo utokea kwa mtu anayetumia madawa ya kupunguza maumivu.
Soma Zaidi...Maumivu ya tumbo ni moja katika dalili za ujauzito. Maumivu wanawake wengi hushindwa kujuwa kuwa ni ujauzito ama laa. Na hii ni kwa sababu kwa wanawake wengi maumivu ya tumbo ama changu ni jalivya kawaida kwao.
Soma Zaidi...Kunyonyesha ni moja katika njia za asili za kuzuia upatikanaji wa miba nyingine. Hata hivyo hii haimaanishi kuwa huwezi kupata mimba ukiwa unavyonyesha.
Soma Zaidi...Nitakujiza dawa ya chango na maumivu ya tumbo lahedhi, dalili zake na njia za kukabiliana na maumivu ya tumbo la chango.
Soma Zaidi...Posti huu inahusu zaidi malengo ya huduma za uzazi kwa akina Mama, ni huduma muhimu ambazo zimetolewa kwa akina Mama ili kuweza kuepuka hatari mbalimbali zinazowakumba akina Mama wakati wa ujauzito, kujifu na malezi ya watoto chini ya miaka mitano.
Soma Zaidi...Kama uume wako unauma ama unahisi kuwa unaunguza ama kuchoma choma, post hii imekuandalia somo hili.
Soma Zaidi...Habari DoktaNikuulize kituu?
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili ambazo mwanamke hapaswi kufumbia macho.
Soma Zaidi...