NIMLAUMU NANI (SEHEMU YA NNE)


image


Post hii inahusu zaidi kijana Frank anayelazimishwa kuolewa na Amisa yeye hayuko tayari ila kwa sababu ya maisha kuwa magumu anaamua kulala na Amina na kumbebesha Mimba ya watoto mapacha.


NIMLAUMU NANI .

1. Basi Amisa alikuwa anampenda sana Frank na akambembeleza sana ili alale naye ila Frank aliogopa sana na akaamua kwenda kulala kwenye kochi na Amisa akambembeleza na kumpa ahadi nyingi kwa sababu Amisa alikuwa na hela kwa hiyo hatimaye Frank akarudi kitandani mwake na Amisa pia wakalala wote na pia Amisa akapata mimba ya mapacha. Kwa hiyo baada ya mimba kugundulika kuwa  ni mapacha wawili Amisa alifurahi sana na kuwaambia marafiki zake habari za ujauzito wake na kuwatambulisha mme wake ambaye alikuwa na sura nzuri iliyovutia kila mtu.

 

2. Basi hapo siku za nyuma Amisa alikuwa na boyfriend wake aliyeitwa juma ila yule juma alimpenda sana Amisa lakini Hamisa hakumpenda hata kidogo kwa sababu ya tabia yake chafu ya kutembea na wasichana pamoja na wanawake wengi ila juma alimpenda sana Amisa na walikuwa wametembea wote wiki mbili kabla ya kutembea na Frank kwa hiyo juma aliposikia habari za ujauzito wa Amisa alifurahi sana na akadhni ni mimba yake na akaamua kwenda kwa Amisa ili aweze kumwoa na kuwa mke wake, kwa furaha kubwa alipofika kwa Amisa alikuta Amisa hayupo akamkuta frank, akasema atarudi kesho, na alipoenda kwao aliwaambia wazazi wake kwamba mchumba wake ana mimba ya mapacha walifurahi mno, na wakampigia simu Amisa na jibu alilolitoa akasema subiri nitawaambia, kwa sababu Amisa alikuwa mstaarabu aliamua kumwita juma na kumwambia atilie sio mimba yake ila ni ya frank, juma akataka kuzimia akarudi nyumbani kwa huzuni na kutokuamini.

 

3. Basi juma alimtumia ujumbe Amisa kwamba ninachojua hiyo mimba ni ya kwangu na mimi nilimwaga ndani kabisa na Amisa alijibu kwamba baada ya kumaliza kulala na wewe kesho yake niliingia hedhi na baada ya siku chache ndipo nikatembea na Frank, juma hakuamini akaanza kumfuatilia Frank na kujua ni nani na ana kazi gani , baada ya kufuatilia akakuta kwamba Frank hana kazi anaishi kwa Amisa na ni maskini,aliumia na kumtumia meseji Amisa wewe ni mjinga kazi yako ni kutembea na house boy kwa sababu Amisa alimpenda sana Frank ile meseji ilimuuma sana na akaamua kumpeleka juma polisi na kumshitaki kwa kumdhalilisha mme wake na kufuatilia maisha yake, badi juma akaitwa pale kituoni akasomewa mashtaka  na yeye akaamua kufungua kesi ya kwamba amebebesha mimba Amisa na akaamua kumpatia mme mwingine ambaye ni Frank, basi polisi wakaamua juma amlipe frank kwa kumdhalilisha na pindi Amisa akijifungua wapime DNA kujua mtoto ni wa nani.

 

 

4. Baada ya juma kusikia hayo akaanza kwenda hospitali ambayo wanapima DNA akawapa Hela nyingi mno na wakawa tayari kusubiri pindi Amisa akijifungua wapate kumpima mtoto.

Itaendelea baadae

 



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    2 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    3 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    4 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    5 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    6 Jifunze fiqh    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Nani muuaji?
Posti hii inakwenda kukusimulia kuhusu muuaji wa mtoa burudani wa sultan Soma Zaidi...

image Deni la mapenzi
Posti hii inakwenda kukupa muendelezo kuhusu kifo cha mtoa burudani wa sultani Soma Zaidi...

image UFUPISHO WA ALIFU LELA ULELA KITABU CHA KWANZA
Posti hii inakwenda kukisimulia kuhusu hadithi za alifu lela ulela KITABU CHA KWANZA Soma Zaidi...

image Kuingia kwa wageni
Posti hii inakwenda kukuletea hadithi za alifu lela ulela Soma Zaidi...

image Safari ya sita ya Sinbad
Posti hii inakwenda kukuletea muendelezo wa safari za Sinbad Soma Zaidi...

image Kuelekea bonde la uokozi
Posti hii inakwenda kukupa muendelezo wa safari saba za Sinbad Soma Zaidi...

image Hadithi ya kisiwa cha mawe yanayolia
Posti hii inakwenda kukupa muendelezo wa safari saba za Sinbad Soma Zaidi...

image Hadithi ya Kaka wa nne wa kinyozi
Posti hii inakwenda kukupa muendelezo kuhusu kifo cha mtoa burudani wa sultani Soma Zaidi...

image Safari ya majibu juu ya maswali mawili
Posti hii inakwenda kukuletea hadithi za alifu lela ulela Soma Zaidi...

image WAKATI WA KUFUMBUKA SEHEMU YA 1
Post hii inahusu zaidi hadithi mpya na nzuri inayoitwa wakati wa Kufumbuka, ni hadithi inayohusu maisha ya kawaida ambapo watu ushindwa kudhamini watu wa karibu nao na kuona watu wa mbali ndio wenye maana ila shida zikifika ndipo wanaona umuhimu wao. Soma Zaidi...