Faida za kiafya za viazi vitamu
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula viazi vitamin
Faida za viazi vitamu
1. Vina virutubisho Kama fati, wanga, protini, vitamini C na B6 pia madini ya chuma, zink, potassium, magnesium, phosphorus na mengineyo mengi
2. Husaidia kushusha presha ya damu
3. Ni chakula kizuri kwa afya ya mifupa
4. Ni chakula kizuri kwa afya ya moyo
5. Huboresha mfumo wa fahamu na seli
6. Husaidia katika ukuaji wa mtoto
7. Hulinda afya ya ubongo katika kutunza kumbukumbu, kujifunza na kurelax
8. Huzuia tatizo la kukosa choo
9. Husaidia katika mapambano dhidi ya maradhi ya saratani
10. Ni chakula kizuri kwa afya ya ngozi
11. Huboresha mfumo wa kinga
12. Husaidia katika kupunguza uzito
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉2 Simulizi za Hadithi Audio 👉3 ai web app 👉4 Madrasa kiganjani 👉5 Bongolite - Game zone - Play free game 👉6 Dua za Mitume na Manabii
Post zinazofanana:
je ni vipi vyakula vyenye protini kwa wingi?
Makala hii iatakuletea aina kuu tano za vywkula vyenye protini nyingi zaidi. Kama ulikuwa unajiuliza kuwa ni vyakula ipi hasa vinaweza kukupatia protini kwa wingi ni vipi, makala hii ndio majibu yako kwa swali hilo.
Soma Zaidi...Faida za kiafya za kula bamia
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula bamia
Soma Zaidi...