Post hii inahusu zaidi ugonjwa wa tatizo na kuishiwa damu, kuishiwa damu ni tatizo linolowakumba watu wengi na kusababisha matatizo mengi
Njia za kufuata Ili kuepuka na hangs la kupungukiwa damu mwilini
1. Kutumia vyakula vinavyoongeza damu mwili kama vile matunda
2. Kuongezewa damu hospitalini kama damu yako Iko chini ya kiwango kinachohitajika
3. Kuhakikisha tumekula dawa za minyoo mara kwa mara Ili kuepuka madhara ya kupungukiwa damu
4. Kutibu magonjwa yanayosababisha upungufu wa damu
5. Kupima afya zetu Ili kuangalia kama Kuna magonjwa ya kuridhi yanayosababisha kupunguza damu
6. Tuwe tayari kuchangia damu Ili kusaidia watu wenye matatizo ya kupungukiwa na damu
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Jiamini A ni katika vitamini inayojulikana sana kuboresha na kuimarisha afya vya macho na uoni. Tafiti zinaonyesha kuwa kuna kundi kubwa la watoto wanaopata tayizobla kutokuona kutokana na ukosefu wa vitamini A vya kutosha.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu madhara ya upungufu wa vyakula
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sehemu ambazo zinapaswa kudungwa chanjo, hizi ni sehemu zile zilizopendekezwa kwa ajili ya kuchoma chanjo kwa kadiri ya kazi ya chanjo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mbinu za kuondoa sumu mwilini, ni njia mbalimbali ambazo uweza kutumika ili kuondoa sumu mwilini.
Soma Zaidi...Hii post inahusu zaidi kazi za wahudumu wa afya wakati wa kutoa dawa, ni kanuni zinazopaswa kufuata wakati wa kutoa dawa kwa wagojwa.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu Mambo yanayopunguza nguvu za kiume
Soma Zaidi...Nyoka wapo katka makundi makuu mawili, kuna wenye sumu na wasio na sumu.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu madhara ya upungufu wa maji mwilini
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi faida za tumbo,tumbo ni sehemu ya mwili ambayo ushughilika na kutunza chakula,
Soma Zaidi...