Post hii ni mwendelezo wa hadithi ya safari yenye muujiza ,ni pale mtoto ya Mungu mengi anafika kwenye kituo Cha ntonga na kuona yake mazingira na kufahamu njia ya kwenda kule.
SAFARI YA MUUJIZA
Basi wakafika pale kwenye kituo wakawakuta watoto wengi wa Kila namna ,na waliruhusiwa kucheza nao, Kula nao Kwa sababu walikuwa wamekwenda wameandaa chakula, basi wakaanza kuzunguka sehemu mbali mbali,na Katika kuzunguka ya Mungu mengi alianza kutembelea sehemu mbali akiwa mwenyewe baadae aliona msichana wa Rika lake na Kama vile wanafanana akashutuka sana,akapaswa kumsogelea ili aweze kuongea naye,wakakaribiana wakasalimiana, ya Mungu mengi akauliza unaitwa nani huyu akamjibu naitwa maria na huyu akamjibu naitwa ya Mungu mengi,ya Mungu mengi akapenda kufahamu kuhusu maisha ya yule dada, basi yule dada akaanza kusimulia History yake Kama ifuatavyo.
MI'mi naitwa maria Amani,Nina umri wa miaka kumi na Saba Niko kidato Cha nne kwenye shule ya Kadio Kwa Sasa Niko hapa Kwa sababu Huwa naenda shule na kurudi,ila Mimi nilijikuta hapa Kwa sababu wazazi wangu walitangulia mbele ya haki na pia niliambiwa tulikuwa mapacha wawali mmoja aliitwa Martha Amani ila Kwa sababu alichukuliwa na wazazi ili awe mtoto wao Kwa sababu hawakuwa na mtoto wa kike,ila Mimi Nina hamu ya kumwona ndugu yangu ili kupambana na maisha,
Baada ya msichana maria kuongea hivyo ya Mungu mengi alifikilia sana na akasema moyoni mwake atanda kumuuliza mama yake mlezi sehemu alipomtoa na walikuwa na hali gani, basi mda wa kuondoka ukafika wale wasichana wakaagana na kwenda Kila mtu sehemu yake ila wakawa na wasi wasi mkubwa, kabla ya ya Mungu mengi hajaondoka mwalimu aliwaita akawaambia Kila mtu anapaswa kuchagua rafiki ,ndipo ya Mungu mengi akakimbia Kwa maria ili wawe marafiki ila waliendelea kutoelewa Kwa sababu walikuwa wanafanana sana.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi mwendelezo wa hadithi ya vijana wawili,ambapo Mama yake na Jackie pamoja na jack wakiwa hospital na jack anaendelea kumwita Julius kila mara.
Soma Zaidi...Β Posti hii inahusu zaidi jinsi ya watu walivyoishi katika kijiji cha burugo .tunajuwa hadithi ni sehemu mojawapo ya kubirudisha na kujifunza kitu flani kutoka kwenye jamii .
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi watoto Hawa wawili wakiwa kwenye kituo cha mapumziko ambapo mtoto wa tajiri anabugia soda aliyopewa na yule mwalimu pia tumbo linaanza tena na anaanza kuendesha
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi habari za Mama mmoja aliyekuwa mchoyo akampa mkate mwehu na kuutia Sumu ila kwa sababu mwehu alikuwa mkarimu sana aliutunza mkate na kuwapatia watoto wa yule mama waliokuwa wakitoka shule na njaa kali
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mwendelezo wa hadithi ya vijana wawili, hapa tunaona Jackie anajibu barua ya Julius kwa kusema yafuatayo.
Soma Zaidi...Post hii ni mwendelzo wa hadithi ya ukweli ambayo imetokea siku sio nyingi jinsi Moses alipoacha kumwoa Rhoda naye akachanganyikiwa takribani miaka kama mitano hivi.
Soma Zaidi...Post hii ni mwendelezo wa hadithi iliyopita ambapo Frank aliwakuta Amina ambaye ni mpenzi wake ameumbatiana na James ambaye ni rafiki yake ,kwa hiyo tuendelee kusikia yaliyotokea baada ya Amina na James kukutwa na Franki.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi hadithi ya vijana wawili ambapo mtihani unafika ila Jackie hakujiandaa alishutuliwa na marafiki zake baada ya kuona mwenendo wake haueleweki.
Soma Zaidi...