Mwendelezo wa hadithi ya vijana wawili
Posti hii inahusu zaidi hadithi ya vijana wawili ambapo mtihani unafika ila Jackie hakujiandaa alishutuliwa na marafiki zake baada ya kuona mwenendo wake haueleweki.
Mwendelezo wa hadithi ya vijana wawili.
1. Kwa hiyo mtihani ulipofika Jackie hakuwa na maandalizi yoyote ila baadhi ya wasichana waliokuwa wanaosoma na Jackie walimwita na kuongea naye ila ilikuwa too late, kwa hiyo Jackie siku ya jumapili aliitwa na julius wakatoka na mtihani ulikuwa ni jumatatu na siku ya jumamosi Julius akishinda anasoma ila mwenzake alishinda anasoma barua alizoandikiwa na Juliusi.
2. Kama mda wa saa mbili walirudi chuo ila Jackie alikuwa ameleweshwa Yuko chakali akafika amechoka kabisa akalala aliamshwa na kwenda kwenye mtihani hajaoga Wala uniform hazijafuliwa akaamka hivyo hivyo akavaa nguo chafu na kuingia kwenye mtihani na kila mwalimu alimshangaa kwa sababu ni msichana aliyekuwa smart na anajipenda kwa hiyo alipoanza mtihani hakuelewa chochote na pia kwa sababu ya pombe alisinzia kwenye mtihani mpaka mwalimu wa kike alipofikia kumwamsha alishutuka na kuhisi harufu ya pombe.
3. Basi ilipofika saa nane wakarudi kwenye mtihani WA pili ila Jackie alikuwa yupo yupo ana uchovu na pia kwa sababu alikuwa hasomi alikuwa haelewi chochote kwa hiyo baada ya mtihani WA pili mwalimu alimwita na kuongea naye ila jack alikuwa amechoka kweli akiwa na usingizi ila mwalimu akamlazimisha na kutaka kujua kilichotokea ila Jackie hakusema chochote mpaka Mama yake akaitwa Ili kuja kuongea na mwanae,basi mama yake alipokuja aliumia sana kumkuta mtoto wake kwenye hali Ile.
4. Mpaka Mama yake alizimia kwa sababu Jackie alikuwa anaonekana kachakaa sana , baadae wakampeleka mama Jackie hospital ila wasichana waliokuwa kilichokuwa kinaendelea walimshauri Jackie hajifanye kama kichaa Ili haweze kupoteza ushaidi wa kwamba alikuwa amejichanganya shuleni, Basi baadae Jackie akaenda kumsimulia Julius kilichokuwa kinaendelea julius akamwangalia Jackie kama vile hajawahi kumwona yaai Jackie akawa kama anataka kufa na akaumia zaidi akawa kama mgonjwa na mtu ambaye hajielewi na yeye akapelekwa hospital mahali alipokuwa amelazwa mama yake , kwa hiyo jack alikuwa kitanda hiki Mama hiki, Jackie alimwangalia mama yake kwa aibu ila mama alimwangalia mwanae kwa huruma.
itaendelea baadae
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
π1 Madrasa kiganjani π2 Dua za Mitume na Manabii π3 web hosting π4 Simulizi za Hadithi Audio π5 Kitabu cha Afya π6 Kitau cha Fiqh
Post zinazofanana:
Mwendelezo wa hadithi ya Binti mfalme sehemu ya sita
Post hii inahusu zaidi mwendelezo wa hadithi ya Binti mfalme sehemu ya sehemu ya sita.sehemu hii inaonyesha jinsi bibi alivyo ndumila kuwili na hapendi kuonekana mbaya.
Soma Zaidi...Mahusiano ya vijana wawili
Posti hii inahusu zaidi mahusiano yaliyotokea kati ya vijana wawili ila yanafika baadae mmoja akamsaliti mwenzake.
Soma Zaidi...USALITI (sehemu ya tatu)
Post hii ni mwendelzo wa hadithi ya ukweli ambayo imetokea siku sio nyingi jinsi Moses alipoacha kumwoa Rhoda naye akachanganyikiwa takribani miaka kama mitano hivi.
Soma Zaidi...NIMLAUMU NANI ( sehemu ya tatu)
Post hii inahusu mwendelezo wa hadithi ya kijana Frank na Amisa pia na wapenzi wawili ambao ni James na Amina.
Soma Zaidi...Hadithi katika kijiji cha burugo
Β Posti hii inahusu zaidi jinsi ya watu walivyoishi katika kijiji cha burugo .tunajuwa hadithi ni sehemu mojawapo ya kubirudisha na kujifunza kitu flani kutoka kwenye jamii .
Soma Zaidi...