Posti hii inahusu zaidi mwendelezo wa hadithi ya vijana wawili,ambapo Mama yake na Jackie pamoja na jack wakiwa hospital na jack anaendelea kumwita Julius kila mara.
1. Kwa hiyo baba Jackie aliposikia kwamba mama Jackie na Jackie wapo wodin wamekazwa alishutuka sana akakimbilia hospital, kwa kawaida Kazi yake baba Jackie alikuwa mwanajeshi na
alimpenda sana Binti yake, kwa hiyo baada ya kufika hospital na kuwaona au kuiona familia yake imelazwa na ugonjwa haueleweki alishangaa na akapanic sana na cha ajabu kusikia Binti yake akiita Juliusi , ndipo akamwuliza Binti yake Julius ni nani akasema ni mchumba wangu.
2. Ndipo baba yake akachukua bastola akakimbia nayo mpaka shuleni alikuta wanafunzi wanajiandaa na mtihani WA pili akaingia ofisi na bastola akiulizia julius naye Julius aliposikia habari akaanza kulia mapema kwa hiyo ilikuwa njia rahisi kumkamata kwa hiyo yule baba alipoulizia Julius akiwa amenyosha bastola kila mwanafunzi alikimbia na kumwacha julius mwenyewe, julius alipokamatwa alipigwa makofi mateke na kila aina ya kipigo ila walimu walipoona hayo waliita polisi na polisi ikamkamata baba Jackie wakampeleka police
3. Kwa hiyo familia yote ilikuwa kwenye matatizo mama na mtoto wako hospital, baba Yuko polisi, kwa hiyo baada ya mtihani wenzake na Jackie walikenda kumwona na kumwambia kwamba baba yake yupo polisi, kwa sababu akili za Jackie zilikuwa sawa alikimbia nyumbani ni kutoa taarifa kwa ndugu ndipo ndugu wakafika shuleni na kuhakikisha kwamba na Juliusi na yeye yupo chini ya ulinzi.kwa hiyo Julius baada ya kuwekwa chini ya ulinzi baba yake alipewa taarifa na akaja kuangalia kinachoendelea , baba julius baada ya kumwona mwanae aliumia sana na kuanza kumwuliza kwa nini alifanyiwa hivyo hakutoa jibu la kutosha
4. Kwa sababu mitihani ilikuwa inaendelea wanafunzi waliokuwa wamekamatwa kwenye makosa ambao ni julius na Jackie waliamuliwa kuendelea na mitihani wakati wakisubiri wahojiwe , julius na kundi lake baada ya kusikia hayo matumbo yaliwaka moto na pia hawakufanya mtihani. Kwa hiyo wazazi wakisubiri ilinkuweza kusikiliza kesi
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inahusu zaidi mtoto wa tajiri na mtoto wa maskini wakipanda gari kuelekea shule kuanza maisha mapya.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mwendelezo wa hadithi ya vijana wawili, kuhusu hadithi hii ni pale Jackie anaandikiwa barua na Julius ili apotezwe akili na wavulana wengine kwa sababu Jackie aliwapita darasani.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mwendelezo wa hadithi ya Mama mchoyo na mwehu, kwa sababu mwehu alikuwa mkarimu alichukua ule mkate akawapstia watoto wa yule mama wakiwa wanatoka shule kwa hiyo tutaona kilichotokea kwa wale watoto.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi watoto wa wawili ambapo mmoja ni mtoto wa tajiri na mwingine ni mtoto wa maskini.
Soma Zaidi...Nani kama mama? Hadithi hii itakufunza umuhimu wa kuwa muwazi kuhusu familia yako.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi kijana Frank anayelazimishwa kuolewa na Amisa yeye hayuko tayari ila kwa sababu ya maisha kuwa magumu anaamua kulala na Amina na kumbebesha Mimba ya watoto mapacha.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi hasara za wivu na kutokuwa wazi sehemu ya pili, sehemu hii inahusu mama Lisa anaenda kwa mama lina ili kuuliza kinachoendelea kwa mtoto wake , kwa hiyo tuona atapata jibu gani.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi hadithi ya vijana wawili ambapo mitihani inaisha na wanaanza kuhukumiwa mmoja baada ya mwingine.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi hadithi ya Binti mfalme ni hadithi ya kusisimua, kuhusu hadithi hii ni kwamba mfalme alihitaji mtoto wa kiume ila wanawake wote hawakumpata ila alitokea mke mdogo mmoja wa mfalme akajifungua watoto wawili mapacha mmoja wa kiume na
Soma Zaidi...Post hii ni mwendelezo wa hadithi inayohusu Kufumbuka ambapo , John anaonekana kama sio mtoto wa Mzee maganga kwa sababu na miungu imekili kwa sababu chakula chote kimeliwa na kuisha.
Soma Zaidi...