Mtu mwenye maumivu ya tumbo upande wa kushoto anaweza kutumia tiba gani ya asili ambayo inaweza kumsaidia kupunguza maumivu?

je na wewe ni mmoja katika wenye maumivu ya tumbo upande mmoja?. Basi post hii ni kwa ajili yako.

Swali: 

Mtu mwenye maumivu ya tumbo upande wa kushoto anaweza kutumia tiba gani ya asili ambayo inaweza kumsaidia kupunguza maumivu?

 

Kabla ya kuangalia ni dawa gani ya kuponesha vyema kujuwa kwanza ni tatizo gani.  Na ni kipi chanzo cha tatizo. 

 

Chanzo cha maumivu: 

Bila ya vipimo ni ngumi kujuwa chanzo halisi cha maumivu. Hata hivyo huwenda ikawa moja ya vifuatavyo: -

Tumbo la chango

PID

Typhod

Ngiri

UTI

Kukosa choo

Tumbo kujaa gesi

Minyoo

Shida kwenyr figo

Huwenda zokawepo sababu nyingine zaido. 

 

Ni ipi tiba: 

Tiba ya maumivu hayo hutolewa kulingana na chanzo.  Vyema kwanza kupata vipimo ndipp upate tiba kulingana na chanzo cha tatizo. 

 

Kupata tiba asili jambo jema ni kuenda kwa mtoaji wa tiba za asili. Katika hali za kawaida majani ya mpera yanaweza kuwa dawa nzuri ya tumbo. Hata hivyo vyema kupata maelekezo sahihi kutoka kwa mtaalam wa tiba hizo. 



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/05/13/Friday - 04:29:36 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 111


Download our Apps
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-