Je vidonda Mara nyingi vitakuwa maeneo gan ya mwili? Hili ni swali lililoulizwa kuhusu vidonda vya tumbo, kuwa vinakaa wapi katika mwili.
Vidonda vya tumbo vinakaa maeneo mbalimbali ya mwili. Na kila vitakapokaa athari zake huweza kujionyesha kwa mgonjwa.
Vidonda vyabtumbo vinakaa maeneo haya:-
1. Kwenye tumbo la chakula
2. Kwenye utumbo mdogo
4. Sehemu ya juu ya tumbo
5. Vinakaa kwenye hehemu inayounga utumbo mdogo na tumbobla chakula
Je unasumbumbuliwa na vidonda vya tumbo?. Hakikisha hautumii vyakula vya mafuta kwa wingi. Punguza ulaji wa vitu vyenye pilipili, wacha kutumia dawa kiholela. Punguza pilipili kwenyr chakula chako.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
NAMNA YA KUGUNDUA VIDONDA VYA TUMBO Ili kugundua vidonda, daktari wako anaweza kwanza kuchukua historia ya matibabu na kufanya uchunguzi wa mwili.
Soma Zaidi...Poliomyelitis ni kuvimba kwa suala la kijivu la uti wa mgongo na wakati mwingine sehemu ya chini ya ubongo
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi watu walio katika hatari ya kupata Maambukizi kwenye mifupa,
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sababu mbalimbali za kuwepo kwa saratani ya ini, saratani hii imekuwa tishio kwa wengi ila ni vizuri kujua baadhi ya sababu ambazo uchangia sana kuwepo kwa tatizo hili la saratani ya inni.
Soma Zaidi...Huu ni ugonjwa wa fangasi wanaosababishwa na mashambulizi ya fangani aia ya yeast waitwao candida.
Soma Zaidi...Homa ya ini yenye sumuรย ni kuvimba kwa ini lako kutokana na kuathiriwa na vitu fulani ambavyo umeathiriwa navyo. Homa ya ini yenye sumuรย inaweza kusababishwa na pombe, kemikali, dawa za kulevya au viongeza vya lishe.
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kuhusiana na dalili za fangasi Mdomoni kwa watoto, vijana, watu wazima na mama wanaonyonyeshwa.
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kuhusiana na sababu zinazosababisha kinjwa au mdomo kutoa harufu mbaya?
Soma Zaidi...