Fangasi wa kwenye kucha: dalili zake, na kumbambana nao

Fangasi wa kwenye kucha: dalili zake, na kumbambana nao

Hawa ni fangasi ambao wanashambulia sana kwenye kucha za vidole vya mikonobna miguu.

Fangasi wa kwenye kucha: dalili zake, na kumbambana nao

1. Fangasi wa kwenye kucha.

Hawa ni fangasi ambao wanashambulia sana kwenye kucha za vidole vya mikonobna miguu. Jina la kitaalamu la fangasi hawa ni onychomycosis. Wanakifanya kidole kivimbe, na kupoteza rangi yake ya asili. Kidole kinaweza kuwa na mipasuko. Fangasi hawa wanaathiri zaidi kwenye vidole vya miguu kuliko vya mikono. Fangasi hawa hawana maumivu lamda kama wataathiri zaidi.

fangasi

Dalili za fangasi hawa:-

  • Kucha kuwa na utandu mweupe au njano
  • Kidole kuwa kigumu na kuvimba
  • Kupasuka kwa vidole

 

Fangasi hawa tunaweza kuwapata kwenye mazingira yetu, wanaingia kupitia mipasuko kwenye miguu ama kwa namna nyingine. Kila mtu anaweza kupata fangasi hawa ila kuna watu wapo hatarini sana yaani ni rahisi kupata fangasi hawa.

 

Watu walio hatari kupata fangasi hawa

Watu hawa ni kama:-

  • Mtu mwenye majeraha kwenye kucha ama aliyefanyiwa upasuaji
  • Watu wenye kisukari
  • Watu wenye mfumo wa kinga ulio dhaifu
  • Watu wenye matatizo katika mfumo wa damu
  • Watu wenye minyoo kwenye miguu.

 

Njia za kuepuka fangasi hawa:

  1. Weka vidole vyako safi na vikavu muda wote
  2. Kata kucha zako ziwe fupi na usiweke safi muda wote
  3. Usitembee bila ya viatu kwenye maeneo yasiyo salama.
  4. Usishiriki kifaa cha kukatia kucha na watu wengine


                   

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: magonjwa Main: Post File: Download PDF Views: 5561

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 ai web app     👉2 web hosting     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Kitau cha Fiqh     👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉6 Madrasa kiganjani    

Post zinazofanana:

MATIBABU YA VIDONDA VYA TUMBO

MWISHO Vidonda vya tumbo vinatibika bila ya shaka.

Soma Zaidi...
Dalili za maumivu ya jino

Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za maumivu ya jino

Soma Zaidi...
Dalili za kikohozi cha muda mrefu (Kifua kikuu - TB).

Kifua Kikuu (TB) ni ugonjwa unaoambukiza unaosababishwa na bakteria aina ya Mycobacterium tuberculosis. Ingawa ugonjwa huu huathiri zaidi mapafu, unaweza kushambulia sehemu nyingine za mwili kama uti wa mgongo, figo, au ubongo. Kikohozi cha muda mrefu ni dalili kuu ya TB ya mapafu, ambayo ikiachwa bila kutibiwa, inaweza kusababisha madhara makubwa ya kiafya na kueneza maambukizi kwa watu wengine katika jamii.

Soma Zaidi...
Dalili za kuvimbiwa kwa watoto.

Kuvimbiwa kwa watoto ni shida ya kawaida. Kuvimbiwa kwa watoto mara nyingi huonyeshwa na kinyesi kisicho kawaida au kinyesi ngumu na kavu.

Soma Zaidi...