Madhara ya minyoo
Somo hili linakwenda kukuletea madhara ya minyoo
MADHARA YA KIAFYA YANAYOHUSIANA NA MINYOO
Tofauti na madhara ambayo tumeyaona huko juu kwenye dalili kama maumivu ya kicha, tumbo na miwasho, kichefuchefu na kutapika. Lakini minyoo ikizidi madhara haya huwenda yakawa makubwa zaidi.
mgonjwa anaweza kutapika damu
Miwasho mikali kwenye puru na sehemu za siri kwa wanawake
Inaweza kuathiri ini na tishu nyingine
Inaweza kupelekea kupata ugonjwa wa anaemia
Uchpvu, kupungua uzito na homa
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
π1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) π2 Kitabu cha Afya π3 Dua za Mitume na Manabii π4 kitabu cha Simulizi π5 Kitau cha Fiqh π6 Bongolite - Game zone - Play free game
Post zinazofanana:
Dalili za ugonjwa wa upele
Posti hii inahusu zaidi dalili za ugonjwa wa upele, ni dalili au mwonekano wa mgonjwa wa upele.
Soma Zaidi...Virusi vya Homa ya Ini (Hepatitis B): Dalili na chanjo.
Homa ya ini aina ya B (Hepatitis B) ni maambukizi makubwa ya virusi yanayoathiri ini. Virusi hivi vinaweza kusababisha ugonjwa wa papo hapo (wa muda mfupi) au sugu (wa maisha yote). Maambukizi sugu ya Hepatitis B yanaweza kusababisha uharibifu mkubwa wa ini, ikiwemo makovu (cirrhosis), saratani ya ini, na kushindwa kwa ini kufanya kazi. Makala haya yanakupa uelewa wa dalili zake na umuhimu wa chanjo kama njia kuu ya kujikinga.
Soma Zaidi...Maumivu ya tumbo baada ya tendo la ndoa
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za maumivu ya tumbo baada ya tendo la ndoa
Soma Zaidi...Sababu za Hedhi Kuchelewa Bila Mimba
βKuchelewa kwa hedhi ni jambo linaloweza kuleta hofu na wasiwasi, hasa kwa wanawake wanaohisi kuwa mimba ndiyo sababu pekee. Hata hivyo, kuna sababu nyingi za kibiolojia na mtindo wa maisha zinazoweza kusababisha mzunguko wa hedhi kuvurugika. Post hii inachunguza visababishi hivi na kutoa mwongozo wa wakati mwafaka wa kuona daktari.
Soma Zaidi...Vyakula Vinavyosaidia Afya ya Uzazi kwa Mwanamke: Mwongozo wa Lishe Bora
Muhtasari (Executive Summary) βAfya ya uzazi ya mwanamke inategemea kwa kiasi kikubwa uwiano wa vichocheo mwilini (hormonal balance), afya ya mayai (oocytes), na mazingira salama ya mfuko wa uzazi. Lishe duni inaweza kusababisha matatizo kama kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi au ugumu wa kupata ujauzito. Makala haya yanachambua vyakula vya asili vinavyosaidia kuimarisha mfumo wa uzazi wa mwanamke, kuboresha ute wa uzazi, na kuongeza nafasi ya kushika ujauzito kwa njia salama.
Soma Zaidi...Dalili za tatizo la nguvu za kiume
Tatizo la nguvu za kiume ni changamoto inayowakumba wanaume wengi duniani, lakini mara nyingi huogopwa kulizungumzia kutokana na aibu au hofu. Hali hii inaweza kuathiri afya ya mwili, akili, na hata mahusiano ya kimapenzi. Kutambua dalili mapema ni hatua muhimu ya kupata matibabu sahihi na kurejesha hali ya kawaida. Katika makala hii, tutachambua dalili kuu za tatizo la nguvu za kiume, sababu zake, pamoja na ukweli muhimu unaopaswa kufahamika
Soma Zaidi...