Post hii inahusu zaidi dawa ya Mebendazole kama Dawa ya kutibu Minyoo, ni dawa inayotumiwa na watu wengi pale wanapokuwa na minyoo, walio wengi wamefanikiwa kupona kwa kutumia Dawa hii.
Kazi ya Mebendazole katika kutibu Minyoo.
1.Dawa ya Mebendazole utibu Aina mbalimbali za minyoo ambazo utokea kwenye mfumo mzima wa binadamu ufanya kazi hii kwa kwa kuvunjavunja sukari ambayo imo ndani ya minyoo na minyoo hao hawawezi kushi na kufa au pengine dawa hii ikiingia mwilini mean binadamu uwalewesha minyoo ambao wapo ndani ya mwili wa binadamu na hatimaye wadudu hao ufa na binadamu huwa huru kutokana na wadudu ambao walikuwa wamevamia mwili, kwa hiyo ndivyo dawa ya Mebendazole unavyofanya kazi katika kupambana na minyoo ambao wamo kwenye mwili wa binadamu.
2.Mebendazole huwa katika muuundo wa vidonge ambapo vidonge hivi utumiwa kulingana na utaratibu wa wataalamu wa afya kadri ya umri na uzito wa mgonjwa vidonge hivi ushauliwa vitumike pale ambapo mtu hajala kitu chochote, hapo uweza kufanya kazi vizuri zaidi na kuleta Mafanikio mazuri zaidi. Vidonge hivi ufanya kazi tu baada ya kumengenya na kusafilishwa kwenye mzunguko wa damu vyakula vya mafuta ufaa sana katika matumizi ya vidonge hivi vinapofanya kazi na pia Yale nabaki ya dawa hizi za Mebendazole upitia kwenye kinyesi na kutolewa nje kama takataka nyingine.
3.Dawa hizi za Mebendazole hazipaswi kutumiwa na watoto chini ya miaka miwili na wanawake wenye mimba, hii ni kwa Sababu kwa watoto wenye umri chini ya miaka miwili wananapotumia dawa hizi walezi wao wametoa taarifa kuwa watoto hawa wamepatwa sana degedege kwa hiyo hawa watoto wanapaswa kutumia dawa zao za minyoo kadri ya maagizo ya wataalamu wa afya na vile vile akina Mama wenye mimba wanapaswa kutumia dawa zao kadri ya maagizo ya wataalamu wa afya kwa hiyo elimu inabidi itolewe kwa jamii Ili kuhakikisha kuwa kila mtu anajua kuwa Mebendazole hazipaswi kutumiwa na wanawake wenye mimba Pamoja na watoto chini ya Miaka miwili Ili kuepuka madhara mbalimbali yanayoweza kutokea.
4.Dawa hizi za Mebendazole zinaweza kuwa na matokea mbalimbali yanayoweza kuwepo kwa mgonjwa pale anapotumia dawa kama vile maumivu madogo madogo ya tumbo, maumivu ya kichwa, na watu wengine huwa wanahisi kichefuchefu na pengine kutapika na kuharisha, kwa hiyo hayo ni matokeo yanayoweza kutokea iwapo mgonjwa anatumia dawa za minyoo Aina ya Mebendazole, kwa hiyo dawa hii umetumiwa na wengi wamepona kwa hiyo tuitumie sana itatusaidia.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inahusu zaidi dawa za magonjwa ya moyo, ni dawa ambazo utumika kusaidia pale moyo kama umeshindwa kufanya kazi ipasavyo.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya phenytoin,ni dawa inayotuliza mishutuko mbalimbali inayoweza kutokea kwenye mwili na kutokana na mishutuko hiyo tunaweza kupata kifafa.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya streptomycin ni dawa mojawapo ya kupambana na bakteria hasa wanaoshambulia mfumo wa hewa.
Soma Zaidi...Utajifunza dalili za fangasi mdomoni na ulimini, sababu za fangasi wa mdomoni na ulimini, matibabu yeke na njia za kukabiliana nao
Soma Zaidi...Post hii inahusu dawa ya aspirin katika kupunguza maumivu,ni dawa ambayo upunguz maumivu ya Kawaida, kushusha homa na pia usaidia kwenye magonjwa ya moyo hasa kuzuia stroke kama imetokea mda ndani ya masaa ishilini na manne
Soma Zaidi...