hapa utajifunza dalili za fangasi, dawa ya fangasi na aina za fangasi, pia nitakujuza njia za kukabiliana na fangasi
DAWA YA FANGASI
Fangasi ni katika magonjwa yanayoathiri watu wengi sana. Fangasi wanaweza kuathiri ngozi, nywele na kucha. Unaweza kujitibu fangasi kwa kwenda duka la dawa na kununua dawa bila ya kuhitaji usimamizi maalumu wa daktari ila hii ni kwa dawa za fangasi za kupaka. Za kunywa na sindano hakikisha unapata ushauri wa daktari kwanza. Kumbuka matibabu ya fangasi yanategemea aina ya fangasi wanaokusumbuwa.
Aina za fangasi
1.Fangasi wa kwenye kucha
2. Fangasi wa Mapunye
3. Fangasi aina ya candida
4. Fangasi wa Mdomoni na kooni
5. Fangasi wa kwenye uke
6. Fangasi wanaoshambulia mfumo wa damu na ogran kama moyo, figo n.k
7. Fangasi aina ya Blastomyces
8. Fangasi wa sehemu za siri
Aina za dawa za kitubu fangasi.
Dawa za kutibu fangasi nazo zimegawanyika kama:-
1.Dawa za kupaka na kupulizia
2.Dawa za kumeza majimaji na vidonge
3.Sindano
4.Dawa za kuweka ili zimumunyike, hizi sana huwekwa kwenye uke.
Orodha ya dawa za fangasi
1.Clotrimazole
2.Econazole
3.Miconazole
4.Terbinafine
5.Fluconazole
6.Ketokonazole
7.Amphotericin
Kazi za dawa za fangasi.
Dawa hizi zina kazi kuu 2 nazo ni:-
1.Kuuwa fangasi
2.Kuzuia fangasi kuzaliana na kukuwa.
Athari zinazoweza kutokea wakati wa kutumia dawa za fangasi.
Haya ni matokea yanayoweza kutokea unapoanza kutumia dawa hizi. Si jambo la kuogopa.
1.Miwasho
2.Kujihisi ovyoovyo
3.Kuharisha
4.Ukurutu
5.Unaweza kupata aleji
Umeionaje Makala hii.. ?
Post hii inahusu zaidi dawa za Doxorubicin and Daunorubicin katika kupambana na kansa.
Soma Zaidi...MWISHO Mwisho tunapenda kusema kuwa unapohisi una minyoo kutokana na dalili ambazo tumezitaja humu, nenda kituo cha afya ukapate ushauri zaidi.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa za 5-fluorouracil, Tegafur na uracili katika kupambana na kansa.
Soma Zaidi...Makala hiii inakwenda kukueleza dawa za kutibu fangasi kwenye kucha.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya kutibu ukoma,na dawa hiyo ni dawa ya Dapsoni, hii dawa usaidia kuzuia nerve zisiendelee kupoteza kazi yake pia na ngozi iendelee kuwa kawaida
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dawa ya Carvedilol na kazi yake, ni dawa inayotibu au kuzuia mapigo ya moyo ambayo yako juu na kusababisha kulegeza kwa mishipa ya moyo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi kazi ya paracetamol katika kutuliza maumivu, ni Aina ya dawa ambayo utumiwa sana katika kutuliza maumivu kwa wagonjwa.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa za kisukari, kwa sababu ya kuwepo kwa ugonjwa wa kisukari vilevile kuna dawa zake ambazo utumika kurekebisha sukari kama imepanda au kushuka.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya pyrantel pamoate ni dawa ambayo usaidia kutibu minyoo ambayo kwa kawaida ukaa kwenye utumbo mdogo.
Soma Zaidi...