Dawa ya chango na maumivu ya hedhi
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dawa ya chango na maumivu ya hedhi
Dawa ya chango na dawa maumivu ya tumbo la hedhi.Ni hali ya kawaida kwa mwanmke kupatwa na maumivu akikaribia hedhi ama anapokuwa kwenye hedhi. Hali hii haihitaji hata uangalizi wa daktari. Maumivu haya yanaweza kutofautiana kulingana na umri na maumbile. Kwa wanaoanza sasa wanaweza kupatwa na maumivu makali hata kuliko ambao ni wakubwa. Ambao wana matatizo ya homoni mau,ivu yanaweza kuw ani makali pia. Ukali hii ni wenye kuvumilika, lakini inatokea baadhi ya nyakati kwa baadhi ya wanawake maumivu hayawezi kuvumilika ni makali sana, mpaka anapelekwa hospitali.
Basi makala hii ni kwa ajili yako, tutaona sababu za maumivu haya makali yasiyoweza kuvumilika na pia tatuaona dawa za chango na maumivi ya tumbo la hedhi. Usichoke endelea nayo makala hii mpaka mwisho. Ukipenda tuwachie maoni yako hapo chini.
Ni zipio sababu za maumivu makali ya chango na tumbo la hedhi?1.Kuota kwa vinyama maeneo mengine ndani ya mwili lakini nje ya tumbo la mimba. Hali hii inaweza kuwa na dalili kama kupata hedhi yenye damu nyingi sana na za mabonge, hedhi kuwa zaidi ya siku 7, maumivu makali ya tumb, maumivu makali wajati wa kushiriki tendo la ndoa.
2.Kama mfumo wa homoni haupo sawa yaani hormone imbalance. Tatizo la homoni ni sugu sana kwa wanawake wengi. Inakadiriwa kuwa katika kila wanawake 10 basi mmoja wao atakuwa na tatizo hili. Shida ya homoni inaweza kuwa na dalili kama:- maumivu makali ya chango, kutokwa na damu nyingi wakati wa hedhi, kutokwa na chunusi nyingi usoni, mwanamke kuwa mzito sana, nywele zake zinakuwa dhaifa na kunyonyoka kwa haraka, na ngozi kuwa na madod madoa.
3.Kuwa na uvimbe kwenye mfumo wa uzazi. Mwnamke anaweza kuwa na dalili kama maummivu ya miguu, maumivu ya mgongo kwa chhini, kukosa choo kikubwa, kupata hedhio yenye damu nyingi, maumivu mkakli ya chango, kukojoa mara kwa mara na kushindwa kumaliza mkojo wote anapokojoa.
4.Kuwa na maambukizi au mashambulizi ya bakteria, fangasi na virusi kwenye mfumo wa uzazi. Mwanamke anaweza kupatwa na dalili kama kutokwa na damu kablya ya kuinia hedhi na baada, kutokwa na majimaji yanayotoa harufu ukeni, maumivu makali wakati wa kukojoa, kupata homa.
Sababu nyingine ni:1.Kukaza kwa tisu za kwenye tumbo la kizazi2.Matumizi ya baadhi ya njia za uzazi wa mpango3.Maumbile ya mwanamke.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Kitau cha Fiqh 👉2 Dua za Mitume na Manabii 👉3 ai web app 👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉6 Bongolite - Game zone - Play free game
Post zinazofanana:
Fahamu kuhusu dawa ya parental Artusnate dawa ya kutibu malaria sugu
Post hii inahusu zaidi dawa ya Parental Artusnate ni dawa inayotumika kutibu ugonjwa wa malaria sugu kama tutakavyoona hapo baadaye.
Soma Zaidi...Ifahamu dawa ya kutibu kifua kikuu
Post hii inahusu zaidi dawa ya Rifampin kama dawa mojawapo ya kutibu kifua kikuu.
Soma Zaidi...Fahamau madhara ya flagyl (Metronidazole)
Flagyl ni nini? Flagyl (metronidazole) ni antibiotic. Inapigana na bakteria katika mwili wako. Flagyl hutumiwa kutibu maambukizo ya bakteria ya uke, tumbo, ngozi, viungo na njia ya upumuaji.
Soma Zaidi...Fahamu dawa za kisukari
Post hii inahusu zaidi dawa za kisukari, kwa sababu ya kuwepo kwa ugonjwa wa kisukari vilevile kuna dawa zake ambazo utumika kurekebisha sukari kama imepanda au kushuka.
Soma Zaidi...Fahamu kuhusu dawa ya Acetohexamide
Post hii inahusu zaidi dawa ya Acetohexamide kwa matibabu ya sukari, kama tulivyoona katika post iliyopita kwamba kuna kipindi ambacho kongosho linatoa insulini lakini seli haziko tayari kupokea hiyo insulini.
Soma Zaidi...Dawa ya fangasi uumeni
kama unasumbuliwa na fangasi uumeni, nitakujuza dawa yake, sababu za fangasi uumeni, matibabu yake na njia za kuwaepuka
Soma Zaidi...