Posti hii inahusu zaidi faida za vidonge vya zamiconal, ni baadhi ya faida ambazo upatikana kutokana na vidonge vya zamiconal,ni vidonge ambavyo utibu au kusaidia kwenye matatizo ya viungo vya uzazi.
1. Vidonge hivi huwa na madini ya calcium,zink, magnesium,amino asidi na selenium.
2. Uimarisha mifupa mishipa na meno.
Ufanya kazi hizi kwa sababu ya kuwepo kwa madini ya calcium.
3. Usaidia kwa ukuaji wa watoto, kuanzia tumboni mwa mama yake na pia kwa sababu ya matumizi ya mans yake mtoto anaweza kupata akiwa ananyonya
4.Uzuia uchakavu na uaribifu wa mifupa.
Kwa sababu ya kuwepo kwa madini mbalimbali hasa calcium, zink na magnesium kwa hiyo usaidia katika uchakavu wa mishipa.
5. Usaidia katika ufanisi wa misuri na kukata kwa Damu.
Kwa sababu ya kuwepo kwa madini mbalimbali nayo pia usaidia katika ufanisi wa misuri na kukata kwa damu.
6. Inapunguza kuzeeka mapema.
Kwa sababu ya mchango mkubwa wa calcium, mchango wa zink, magnesium , amino asidi usaidia sana katika kupunguza kiwango cha kuzeeka mapema.
7. Pia uzuia kiwango cha mimba kuharibika.
Kwa sababu ya kuwepo kwa magnesium,zink na mengine ndani ya zamiconal usaidia sana katika kuzuia kuharibika kwa mimba.
8. Kuwepo kwa kinga ya mwili.
Kwa sababu vidonge hivyo vina madini mbalimbali usaidia sana kwenye kinga ya mwili.
9. Usaidia vile vile kwenye matibabu ya kulegea kwa kizazi, kuna akina mama wengine wenye ushuhuda kwamba vidonge hivi usaidia katika kutibu matatizo ya kulegea kwa kizazi.
10. Pia vidonge hivi usaidia kwa wanaume wengi wenye tatizo la kuwepo kwa mbegu zisizo imara.
Kwa hiyo usaidia katika kuboresha mbegu za kiume.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inahusu zaidi dawa za 5-fluorouracil, Tegafur na uracili katika kupambana na kansa.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi kundi la beta blockers katika matibabu ya magonjwa ya moyo,hili kundi lina dawa mbalimbali ambazo utumika katika matibabu ya magonjwa ya moyo na kila dawa tutaiongelea tofauti tofauti ili kuweza kujua kazi zake.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ibuprofen katika kutuliza maumivu, ni aina mojawapo ya dawa na yenyewe ufanya kazi kama aspirin na paracetamol
Soma Zaidi...Zijuwe aina za minyoo na tiba yake. Dawa 5 za kutibu minyoo ya aina zote
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya theophylline ni dawa inayofanya kazi kwenye mfumo wa upumuaji.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya potassium sparing katika matibabu ya magonjwa ya moyo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi kazi ya paracetamol katika kutuliza maumivu, ni Aina ya dawa ambayo utumiwa sana katika kutuliza maumivu kwa wagonjwa.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa kutumia dawa za ARV kwa wathirika wa virusi vya ukimwi .pia tutangalia kwa undani mambo ya kuzingatia kwa wathirika wanaotumia ARV .pamoja na kujali watu wanaotumia dawa hizo .
Soma Zaidi...