
Faida za kula zabibu:
- zabibu lina virutubisho vingi kama vitamini C , B6 na K na fat na madini ya shaba na manganese.
- Ina antioxidanti zinazohusika kuondoa sumu za kemikali na vyakula mwilini
- Hupunguza athari ama hatari ya magonjwa kama saratani, kisukari na maradhi ya moyo na mishipa ya damu
- Huondoa stress na misongo ya mawazo
- Hushusha shinikizo la damu
- Hupunguza cholesterol mbay
- Hushusha kiwango cha sukari kwenye damu
- Husaidia kuimarisha afya ya macho
- Huimarisha afya ya ubongo na utunzaji wa kumbukumbu
- Husaidia kuboresha afya ya mifupa
- Husidia kupunguza maambukizi ya baadhi ya bakteria, virusi na fangasi
- Hupunguza kuzeheka mapema