
Faida za kiafya za viazi mbatata
- ni chakula kizuri kwa afya ya mifupa
- Husaidia kushusha presha ya damu
- Ni chakula kizuri kwa afya ya moyo
- Husaidia katika afya ya ubongo kauka kutunza kumbukumbu, kujifunza, kurelax
- Husaidia katika ukuaji wa mtoto
- Uboreshaji wa mfumo wa fahamu na kuboresha seli
- Husaidia katika mapambano dhidi ya saratani
- Huzuia tatizo la kukosa choo
- Husaidia kupunguza uzito
- Ni chakula kizuri kwa afya ya ngozi
- Husaidia katika kuboresha mfumo wa kinga
- Viazi mbatata vina virutubisho kama vitamini C na vitamini B6. pia fati, wanga na protini. Pia kuna madini ya chuma, zinc, potassium, magnesium, phosphorus na mengineyo mengi