
Faida za kiafya za kula uyoga
- uyoga una virutubisho kama protini, wanga, sukari, fati, madini ya chuma, caicium pia uyoga una maji kwa kiasi kikubwa, pia uyoga una vitamini D
- Uyoga hupunguza athari ya kupata saratani
- Hushusha cholesterol
- Huzuia kupata kisukari
- Huimarisha afya ya mifupa
- Husaidi katika ufyonzwaji wa madini ya calcium na chuma kutoka kwenye vyakula
- Huimarisha mfumo wa kinga
- Hushusha kiwango cha sukari kwenye damu