
Faida za kiafya za tope tope (accustard apple au sweetsop)
- tope tope lina virutubisho kama vitamini C na B. pia lina madini ya potassium na magnessium
- Husaidia kulinda mwili dhidi ya pumu
- Husaidia kudhibiti kiwango cha sukari kwenye damu
- Kufanya moyo uwe katika afya salama
- Hushusha presha ya damu
- Husaidia katika kuupa mwili nguvu
- Huboresha na kuimaisha afya ya mifupa
- Hufanya tezi ya thyroid iwe salama
- Huzuia matatizo ya ujauzito