Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za vyakula vya vitamin B
VYAKULA VYA VITAMINI B
1. Nyama
2. Mapalachichi
3. Mboga za majani
4. Mimea jamii ya karanga
5. Alizeti
6. Mayai
7. Pilipili
8. Ndizi
9. Viazi
10. Maharagwe na kunde
11. Nafaka kama mchele, mtama na mahindi
Kazi za vitamini B
1. Husaidia mfumo wa fahamu kufanya kazi vyema
2. Huhitajika kwa ajili ya uzalishaji wa nishati (nguvu) mwilini
3. Husaidia katika utengenezwaji wa seli mwilini
4. Husauidia katika utengenezwaji wa hemoglobin hizi ni chembechembe katika seli nyekundu za damu
5. Husaidia katika kuchakata DNA
6. Husaidia katika utengenezwaji wa seli mpya na kukomaa kwa seli
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inakwenda kukufundisha utaratibu wa lishe kwa wagonjwa wenye kisukari pamoja na vyakula salamakwao.
Soma Zaidi...Nashukuru kwa ushauri, Je!
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula bamia
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula viazi vitamin
Soma Zaidi...Some Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya vitamin K
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula apple/tufaha
Soma Zaidi...Okoa afya yako kwa kula tunda papai, kwa hakika hutajuta, papai lina virutubisho vingi
Soma Zaidi...