picha

Faida za kiafya za kula Tikiti

Faida za kiafya za kula Tikiti



Faida za kula tikiti

  1. hufanya mwili uwe na majimaji mengi na hii ni faida kubwa sana kiafya
  2. Tikiti lina virutubisho kama vitamini C, A, B1, B5, na B6. Pia lina madini ya manganessium na potassium
  3. Husaidia kuzuia saratani
  4. Huimarisha afya ya moyo
  5. Hupunguza misongo ya mawazo
  6. Hupunguza udhaifu wa viungo kwa wazee
  7. Husaidia kuboresha afya ya nywele na ngozi
  8. Huimarisha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula


                   

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Vyakula Main: Afya File: Download PDF Views 963

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani    👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉3 Bongolite - Game zone - Play free game    👉4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina    👉5 kitabu cha Simulizi    👉6 Simulizi za Hadithi Audio   

Post zinazofanana: