
Faida za kiafya za Tangawizi
- huondoa sumu za vyakula na kemikali mwilini
- Huondoa kichefuchefu hasa kwa kichefuchefu cha mimba
- Hupunguza maumivu ya viungio na misuli
- Hupunguza maambukizi ya mara kwa mara
- Huimarisha afya ya moyo
- Hushusha kiwango cha sukari kwenye damu
- Hutibu tatizo la kukosa hamu ya kula na kukosa choo
- Hupunguza maumivu ya tumbo la chango kwa wakinamama
- Hushusha kiwango cha cholesterol
- Huzuia saratani
- Huimarisha afya ya ubongo hasa kwa wazee