
faida za kiafya za stafeli (soursop)
- stafeli lina virutubisho kama vitamini A na C. pia lina protini, na madini ya potassium na magnessium.
- Husaidia katika kulinda miili yetu dhidi ya kemikali ndani ya mwili
- Husaidia katika kuuwa seli za saratani
- Husaidia mwili katika kupambana na bakteria
- Husaidia mwili dhidi ya kupata vimbe na mashambulizi ya mara kwa mara
- Husaidia katika kudhibiti kiwango cha sukari mwilini
- Husaidia kwa wenye kisukari