
Faida za kiafya za kula samaki
- samaki wana virutubisho kama protini, fati, vitamini kama vitamini D na madini mbalimbali kama iodine.
- Hupunguza hatari ya kupata maradhi ya moyo kama shambulio la moyo na stroke
- Ni chakula kizuri kwa ukuaji bora wa mtoto
- Husaidia katika ukuaji wa ubongo na afya ya ubongo
- Hupunguza stress na misongo ya mawazo
- Ni chanzo kikubwa cha vitamini D
- Hulinda mwili dhidi ya kupata kisukari
- Huzuia pumu kwa watoto
- Huboresha afya ya macho hasa kwa wazee
- Husaidia kupata usingizi mwororo
- Samaki ni chakula kitamu.