
Faida za kula papai
- hupunguza cholesterol mbaya
- Husaidia katika kupunguza uzito
- Huimarisha mfumo wa kinga
- Ni tunda zuri kwa wenye kisukari
- Husaidia kuboresha afya ya macho
- Huondoa tatizo la kuziba wa choo ama kutokubata choo
- Huzuia kuzeheka kwa haraka
- Huzuia mwili kupata saratani