
Faida za kula palachichi
- palachichi lina virutubisho kama wanga, vitamini C, E, K na B^. pia lina madini ya managesium na potassium.
- Husaidia kuboresha na kuimarisha afya ya moyo
- Huzuia kupata ugonjwa wa mifupa (kuwa dhaifu na kufunjika kwa urahisi)
- Huzuia ama kupunguza kupata ugonjwa wa saratani
- Huboresha afya ya watoto wadogo na ukuaji wao
- Hupunguza misongo ya mawazo
- Huondoa tatizo la kutopata choo kikubwa
- Husaidia kuondoa sumu za vyakula na akemikali mwilini
- Husaidia kuzuia maambukizi ya mara kwa mara ya virusi, bakteria na fangasi
- Husaidia kuzukupata maradhi ya kisukari