
FAIDA ZA KIAFYA ZA KULA NYAMA
- tunapata vitutubisho kama protini, vitamini na fati
- Husaidia kuongeza uzito
- Huboresha afya ya mifupa
- Husaidia kwa ukuaji bora na wa haraka
- Hulinda miili dhidi ya utapia mlo
- Madini yaliyomo kwenye nyama husaidia mwili katika kujilinda.
- Nyama ni chakula kitami