
Faida za kula ndizi
- ni chanzo kikuu cha vitamini B6
- Pia ni chanzo kizuri cha vitamini C
- Ndizi ni nzuri kwa afya ya ngozi
- Madini ya postassium yaliyopo ndani ya ndizi husaidia kuboresha afya ya moyo na presha ya damu
- Husaidia katika kuboresha na kuimarisha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
- Ndizi humpatia mlaji nguvu
- Ndizi zina virutubisho vingine kama protini, fati na madini
- Huthibiti kiwango cha sukari kwenye damu
- Husaidia katika kupunguza uzito zaidi
- Huondosha sumu za vyakula mwilini
- Husaidia katika kuimarisha afya ya figo